Funzo alilotuachia Grace Mushi wa Makabe


[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mi ndugu zangu kwa upande wa baba wameoa Wachaga na sasa hadi wana Wajukuu mkuu.

Mimi mwenyewe nina mchumba mchaga wa Machame. Very humble and God-fearing....kuna siku nitamleta humu JF.
yes kabla ya ndoa wako hivyo. funga naye ndoa sasa
 
kila binadamu ana kichaa chake,lakin huyu grace kapitiliza nadhani alikuwa ana mdudu kichwani.
 
Hakuna mwanamke wife material kama wewe mamito. Watu wanajudge kutokana na michango yako ambayo ni ya kuburudisha tu. I know you
[emoji23][emoji23][emoji23] watanzania hupenda watu wanafiki mie Sina shida na mtu ni Kama nyuki wa machine Sina madhara kabisa
 
Huwezi kumtetea Neema, Neema ni mchaga. Wachaga sio watu wazuri. Na kama ndugu yako ameoa mchaga mwambie aendelee kupumulia mashine. Siku zake zinahesabiwa😄😄😄😄😄😄
Wanaume:kama una girlfriend au mke mchagga kuwa makini
Washaanza kuchoma wanaume wao😂🤣🤣
 
We fala ndio umeona uje kuelezea shida zako humu jukwaani ninao watembezea moto na dudu langu wanajua y wanaaacha chenji na nakuja whatsup tuongee vizuri sikubaki
 
Vijana wengi wa kiume wa sasa wanawachuna michepuko pesa ndio maana mtu hawezi kukubali umemlia pesa zake halafu umetoboa kimaisha eti humtaki, na wanaume tuna kawaida tukiwa na pesa tabia zinabadilika
 
Nipe faida 2 tu atakazopata Neema binafsi kwa kitendo alichofanya nami nitakuunga mkono.
Roro yake imeridhika,kuliko kumuona zungu anafunga ndoa na mwingine ilhali alishampotezea time ni bora walivyobadilishana majengo ya serikali ili iwe fundisho kwa wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…