Funzo alilotuachia Grace Mushi wa Makabe

Funzo alilotuachia Grace Mushi wa Makabe

Woiiiiiiii
mtuchemsheee Kwanza hi kukaangana mojakwamoja ...anawaona
[emoji23][emoji23] hapana aisee.. si wote tuna huo ujasiri. Mimi ni kiumbe dhaifu sana aisee. Usifanye masikhara ujue? Maana mpk afanye hili tukio ni mlolongo mrefu sana. Ni long term plan ilipangwa. Mpaka na mbususu akapewa ale na bia juu za bai bai. Huoni inatisha. Yaan nakuoa last supper kama Yesu na mitume wake na mhusika hajui wala machale hana huonj yatisha?
 
Yeuuwiiiiiiiii

Kukaangana anooooo mnampaa MUNGU KAZI KUBWA SIKUYA MWISHO YA UFUFUO AFUFUE KUNI AMA.MIFUOA JAMANI OOOTEE CHAA
 
Mimi sijapenda adhabu ya zungu kwa kweli. Japo ni funzo kubwa sana tumepata. Ila huo ujasiri wa neema unaogopesha sana. Unatishaaaaa....
Woooooiioioooooooo
Lazima uwee na nyotaa ya Herodeyamauwajii kyakooo sioohivihiviii
 
Ujumbe, vijana waache kudanga.

Kuna kijana aiashi makumbusho hapo, ana subaru impreza na forester. Anadanga kupita maelezo. Ni ana mademu kama wote. Yaan haya yote anayomiliki ni kutokea migukoni mwa wanawake anaowarubuni. Chalii yangu kiama chako chajaa[emoji23][emoji23] na anajisifiaga balaaa anawadanga. Iko siku
Hiyo kawaida tena hulenga wale wadada familia bora au wenye kazi za kueleweka pamoja na single mother walio na mali
 
Dah.... Binafsi nimejifunza wanawake hupenda kutumia moto wa petrol tofauti na wanaume wao hutumia Moto wa mkaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani huyu kijana simmalizi. Kapanga geto hapo makumbusho. Nilishangaa kukutana naye. Tumesoma wote chuo kimoja. Eti alisikiaga nna hela sana akaanza niombisha nyimbo na anajua mshkaji wake alikua bf wangu. Nikaenda mtukana huyo ex wangu na huyu jamaa wake. Maana namba ametoa kwa ex wangu. Basi mtaji wake ndo hilo dudu lake labda itakua na ulimi. Yaan anawachunaaa Mungu wangu. Kama hajatumiea jini la ajali siku sijui. Na ningelioenda maybe lingenichuna sana maybe ni vile ninachagua sana. Yaan we falaaaaa moto wako unakujaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ungejichanganya tu vijana kama hao siku hizi wanafunga LEMBA mboro hailali masaa 6. Ungetoa hadi kadi ya benki
 
Yeuuwiiiiiiiii

Kukaangana anooooo mnampaa MUNGU KAZI KUBWA SIKUYA MWISHO YA UFUFUO AFUFUE KUNI AMA.MIFUOA JAMANI OOOTEE CHAA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaniuaaa.. Mungu ana mawaziri wake watamsaidia
 
Hiyo kawaida tena hulenga wale wadada familia bora au wenye kazi za kueleweka pamoja na single mother walio na mali
Exactly. Wako well informed hawaji kizembe aisee. Wajinga sana vijana hawa. Na wanazipata balaa. Hasa wakiahidi ndoa
 
Ungejichanganya tu vijana kama hao siku hizi wanafunga LEMBA mboro hailali masaa 6. Ungetoa hadi kadi ya benki
Hahahaha lemba likoje tena?
Ila ex wangu ndo kdg hakua na busara. Sijuu alinionaje. Unajua vijana akiona unampenda sana unamngenyekea basi anakuona weak sana kumbe ni kamoyo kako kalimuelewa yeye tu and not any other. Sasa anauzahe namba yangu kwa mshkaji wake. Ama ndo walitaka gawana vipesa? Sema tu kijana sikumpenda hataa. Mwanaume mweusi halaf tall unakuaje mdangaji? Huko ni kudhalilisha maumbile[emoji23][emoji23]
 
Exactly. Wako well informed hawaji kizembe aisee. Wajinga sana vijana hawa. Na wanazipata balaa. Hasa wakiahidi ndoa
Kazi yao ni kushinda gym kutanua kifua, kupiga pamba, unyunyu mkali saa na simu kubwa kisha kutega mingo. Mimi nina jamaa zangu wanaishi mjini kwa issue hizo najua vizuri
 
Kazi yao ni kushinda gym kutanua kifua, kupiga pamba, unyunyu mkali saa na simu kubwa kisha kutega mingo. Mimi nina jamaa zangu wanaishi mjini kwa issue hizo najua vizuri
Aiseee. Inatia kinyaa. Sindo chanzo cha mashoga hiki? Na kushinda porno sites ili wajur kila style za kututeka. Nawaheshim sana wanaume responsible aisee
 
Hahahaha lemba likoje tena?
Ila ex wangu ndo kdg hakua na busara. Sijuu alinionaje. Unajua vijana akiona unampenda sana unamngenyekea basi anakuona weak sana kumbe ni kamoyo kako kalimuelewa yeye tu and not any other. Sasa anauzahe namba yangu kwa mshkaji wake. Ama ndo walitaka gawana vipesa? Sema tu kijana sikumpenda hataa. Mwanaume mweusi halaf tall unakuaje mdangaji? Huko ni kudhalilisha maumbile[emoji23][emoji23]
Dawa inapakwa kwenye kichwa cha mboro kisha kitambaa kinafungwa kwenye kichwa ili dawa iingie vizuri isidondoke kwa dakika kadhaa. Hicho kitambaa ndio lemba sasa
 
Ni kweli mabinti kichaga wanaolewa sana. Wanawake wa kichaga wanajua kuonyesha thamani ya mahusiano wanapokuwa bado ni wapenzi au wachumba. Wanajua kustruggle na hivyo wanakuwa siyo wapiga mizinga kama waschana wengi walivyo. Mtoto wa kichaga akikupenda atakununulia zawadi kadha wa kadha kwa hela zake. Yanayotokea kwenye ndoa ni ya kusikitisha sana.
Walakini si wachaga wote, wapo ambao ni wanawake wema maisha yao yote.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Sikutaka kukomenti uzi huu ila comment yako imenigusa sana. Ni kweli si wote wenye roho ya kishetani. Tangu mwaka 1990 hadi leo Nipo na mchagga wangu, pamoja na matatizo ya ndoa akiwa na hela, nikikwama ananikwamua. Ila kwa wanaotaka kuoa mchagga hakikisha hamchanganyi hela na mali mnazochuma wote. Zake ni zake na zako ni zako
 
Mi ndugu zangu kwa upande wa baba wameoa Wachaga na sasa hadi wana Wajukuu mkuu.

Mimi mwenyewe nina mchumba mchaga wa Machame. Very humble and God-fearing....kuna siku nitamleta humu JF.
Tuwekee namba ya mchuchu tumchunguze asije akakuchomea ndani
 
Sikutaka kukomenti uzi huu ila comment yako imenigusa sana. Ni kweli si wote wenye roho ya kishetani. Tangu mwaka 1990 hadi leo Nipo na mchagga wangu, pamoja na matatizo ya ndoa akiwa na hela, nikikwama ananikwamua. Ila kwa wanaotaka kuoa mchagga hakikisha hamchanganyi hela na mali mnazochuma wote. Zake ni zake na zako ni zako
Mali zake ni zake na zako ni zako sasa hapo ndoa iko wapi?
 
Yes mkuu, huyu anakula mvua chache kwa mazingira ya kesi yenyewe. Na atatakiwa kupatiwa sana msaada wa kisaikolojia maana
Kwa kuwa ni malaya! Ila yule wa gunia za mkaa mlishadadia anyongwe kabisa! Double standards
 
Back
Top Bottom