Funzo alilotuachia Grace Mushi wa Makabe

Nilikua nae tukachumbiana na mimba juu,sijui hata alibadirika wapi?mara ya kwanza polisi O bay kanipeleka yeye,ya pili yeye,ya tatu nikaruka ukuta nikakimbia polisi wapo hapo wanasubiri wanipeleke mahabusu,waliniona na taulo wakajuahaendi kokote nikawaambia naenda kukojoa then tuondoke,aah huko huko nikalala mbere.
Nikala dcm la gongo la mboto km kichaa,kifua wazi kondaanauliza nauli nikamsimulia mkasa mzima dah akanambia poa mwana rudi kwenu huyo demu atakuua.
Nimefika home na taulonagonga naingia mazaananiona we vp tena,namwambia nimewatoroka polis,kisa namwambia mwanamke kadai nimempiga na kumtishia maisha.
Maza anauliza umefanya hivyo no sijafanya visa tu.
Maza mtu mpole ila ni mjeshi,akasema lala pumzika kesho tunamuibukia.
Ajabu kesho yake mapema tu demu huyu hapa home,kaja kushtaki kaongea pale weeh kalia sijui nini usanii mtupu,maza akaniuliza unamskia mwenzio?nikamwambia mwongohuyu,
Utaendelea naye ama uppge chini hapa hapa.
Demu hapo kapiga magoti nisamehe nisamehe.
Mi ikabidi ok narudi nae home ,tukasuluishwa yakaisha. Na nikaamua nimtoe kino nimuamishie kigogo huko maana labda maisha kino yamnamzingua,kuhama kigogo mimba hiyo,kaanza tena visa siku nashangaa tu nimerudi mzigo naiti kali niko mbonji nashtuliwa na maafande,vp? Naambiwa una kesi kutishia kuua mama na mtoto tumboni dah mimi? Eeh nikapigwa Pingu ndani post pale kigogo.
Badae sana polisi wakaomba mlungula wanitoe nikawaambia sina labda nikakope,
Twende tukusindikize[emoji38][emoji28][emoji28]
Nikaenda na polisi kukopa niwahonge,
Anyway pale home kulikua na mpangaji mwenzangu mmaza mmoja wa kihaya nilikua nampa hela aniwekee kwa ivyo tulivofika home nikajifanya nikopeshe 10k akanipa nikawapa wakatimka.
Hata ndani sikuingia huyo mpk gomz kwa maza.
Maza akasema sasa hurudi tena kule na akija hapa huyo malaya ntadeal nae.
Anza upyaa maisha.
In serieos note niliacha kila kitu nikapanga uswazi huko mtoni kwa AzizAlli ili tu tusionane.
In shot sasa kafulia,ila kanizalia kijana ana miaka 18 sasa,eti anaomba turudiane [emoji41][emoji1][emoji1] .
Ukimuona ni mwanamke pisi haswa toka miaka hiyo mpaka sasa anazeeka ni mrembo wa haja.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na ww ulikuwa mtoto wa mazaa
 
Kama mtu haeleweki achana nae
Haya mambo ya kulazimishana mapenzi hadi kufikia kuuana ni ya kishamba na kishetani

Mungu atupe macho na masikio ya ndani kuelewa sehemu zisizotufaa
Ni matukio ya kawaida kwenye jamii
 
Wapi nimedai kuwa watu wasitambuliwe kutokana na makabila yao?

Unaelewa kuwa kutambua makabila ya watu kwa kugeneralize kuwa huwa wanafanya maovu haya au wana mapungufu yale na kadhalika huwa inajenga chuki na uadui kati ya watu katika jamii?Unaelewa ni kitu gani kilitokea Rwanda mwaka 1994?
Bongo ugomvi wa ukabila hauwezi tokea maan kuna makabira zaidi ya 100 ttzo linakuja mnapokua na vikabila viwili au vitatu kama Rwanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hua kikiumanika ni kwa wote mkuu,hakuna cha mchaga, mrangi, mnyaturu au mzigua.
Watu wameua zeruzeru,wengine mama zao,wengine bibi vikongwe.

Hayo masuala ni individual.
Yaani hata wewe unaeza kuumanishwa ukimzingua mkeo

Sema kimeumanika [emoji3][emoji3][emoji23]
[emoji23][emoji23]sema Neema ameamua kukiungurumisha kudadeki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi itoshe kusema wachaga waoane wenyewe kwa wenyewe au watinduane wenyewe kwa wenyewe
 
Huwezi kumtetea Neema, Neema ni mchaga. Wachaga sio watu wazuri. Na kama ndugu yako ameoa mchaga mwambie aendelee kupumulia mashine. Siku zake zinahesabiwa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Uoga wako tuu hakuna wanawake pisi kama wachaga kama ukiaeza kuishi nao vizuri maana wakipenda wanapenda kweli
 
Hiyo ni real mkuu,nimekumbuka ikawa nacheka tu.hao wote na mimi tulikua watoto wa mjini.
Huyo dogo alikua Mario wa Amina Chifupa,akihongwa nae anahonga kwa wife,
Wife ndo ile umeacha hela ya Maharage unakuta la tilapia mezani.
Sasa hapo unauliza nini tena
Si wanadai amina alikuwa ameungua?
 
Wajaribu wote. Ila hakikisha hauwahiwi na petrol
Aaah wee! nina experience na mmoja ila nilivyosoma comment ya huyo jamaa nikashangaa sana kwa nini hawawezi, labda kuna tatizo la kimaumbile......iweje makabila mengine waweze wao washindwe...
 
Nianze kwa kulaani kitendo alichofanya huyu Grace, cha kumuua mpenzi wake kwa kumteketeza kwa moto. Ni kitendo cha kinyama sana.

Funzo:
1. Tunatakiwe tuwe real kwenye mahusiano yetu. Ni dhambi kubwa sana kumuaminisha mtu kuwa unampenda halafu kumbe kuna mwingine unampenda na umeshamtambulisha kwenu.

Biblia inasema, "Upendo una nguvu sawa sawa na kifo" Si vyema kucheza na hisia za watu.

Kama mtu humupendi kwanini umdanganye?

Zungu amepokea mshahara wake aliositahili. Bado wewe unae-cheat sijui utapokea lini.

NB: Msianze kuhusisha kabila la mtu na upumbavu wake. Mambo hayo ni ya kizamani sana. Mimi Nebuchadinezzer nina mchumba mmoja tu tena Mchaga wa Machame. "She is very humble, beautiful and God-fearing.

Kama una mpango na demu wako, mwambie mwanzo kabisa sio kumfanya dada wa watu anawekeza kwako halafu mwisho wa siku, faida anakula mtu mwingine.

Poleni sana wafiwa.

PIA SOMA
Uzinzi ni dhamb , siyo kosa kisheria za Tanzania.
Mshahara wa Dhambi ni mauti , tumeona amechomwa, labda alitubu wakati anaungua.

wanaume muache kutuuumza, tukisema kitu mtusikilize.
Wewe unaye endelea kila ukionywa unacheza na vi-chululuu vya watoro wa watu siku zako zinahesabika.
 
Kuna mdau mmoja kasema mademu wa kichaga hawawezi doggy style, je, lina ukweli hili? na kwa nini?
Huenda wanajiheshimu sana na wakiolewa wanatunza siri za ndoa zao tofauti na sis watu wa porini huku mikoa maskini, tunatoa siri za ndoa zetu na ndio maana hatuheshimiki.
Huyi jamaa aliyekwambia ni mbea kuliko mwanamke muuza baa, na wewe ni zaidi ya baa medi maana wote mlikuwa mnapiga story za kike , tena za kimbea.
 
Mzee jibu swali, kama hujui tulia wengine watakuja....ya nini kuwashwa washwa...
 
nyie ndio mnakunwa na akina Mushi mnaanza kulia lia hapa, umeso a nlicho andika, unafikiri hili jukwaa ni lakwanza A? kwamba ukiuliza moja na moja uambiwe ni mbili?
 
Nilikua nae tukachumbiana na mimba juu,sijui hata alibadirika wapi?mara ya kwanza polisi O bay kanipeleka yeye,ya pili yeye,ya tatu nikaruka ukuta nikakimbia polisi wapo hapo wanasubiri wanipeleke mahabusu,waliniona na taulo wakajuahaendi kokote nikawaambia naenda kukojoa then tuondoke,aah huko huko nikalala mbere.
Nikala dcm la gongo la mboto km kichaa,kifua wazi kondaanauliza nauli nikamsimulia mkasa mzima dah akanambia poa mwana rudi kwenu huyo demu atakuua.
Nimefika home na taulonagonga naingia mazaananiona we vp tena,namwambia nimewatoroka polis,kisa namwambia mwanamke kadai nimempiga na kumtishia maisha.
Maza anauliza umefanya hivyo no sijafanya visa tu.
Maza mtu mpole ila ni mjeshi,akasema lala pumzika kesho tunamuibukia.
Ajabu kesho yake mapema tu demu huyu hapa home,kaja kushtaki kaongea pale weeh kalia sijui nini usanii mtupu,maza akaniuliza unamskia mwenzio?nikamwambia mwongohuyu,
Utaendelea naye ama uppge chini hapa hapa.
Demu hapo kapiga magoti nisamehe nisamehe.
Mi ikabidi ok narudi nae home ,tukasuluishwa yakaisha. Na nikaamua nimtoe kino nimuamishie kigogo huko maana labda maisha kino yamnamzingua,kuhama kigogo mimba hiyo,kaanza tena visa siku nashangaa tu nimerudi mzigo naiti kali niko mbonji nashtuliwa na maafande,vp? Naambiwa una kesi kutishia kuua mama na mtoto tumboni dah mimi? Eeh nikapigwa Pingu ndani post pale kigogo.
Badae sana polisi wakaomba mlungula wanitoe nikawaambia sina labda nikakope,
Twende tukusindikize[emoji38][emoji28][emoji28]
Nikaenda na polisi kukopa niwahonge,
Anyway pale home kulikua na mpangaji mwenzangu mmaza mmoja wa kihaya nilikua nampa hela aniwekee kwa ivyo tulivofika home nikajifanya nikopeshe 10k akanipa nikawapa wakatimka.
Hata ndani sikuingia huyo mpk gomz kwa maza.
Maza akasema sasa hurudi tena kule na akija hapa huyo malaya ntadeal nae.
Anza upyaa maisha.
In serieos note niliacha kila kitu nikapanga uswazi huko mtoni kwa AzizAlli ili tu tusionane.
In shot sasa kafulia,ila kanizalia kijana ana miaka 18 sasa,eti anaomba turudiane [emoji41][emoji1][emoji1] .
Ukimuona ni mwanamke pisi haswa toka miaka hiyo mpaka sasa anazeeka ni mrembo wa haja.
Noma saana asee...kama nataman kuskia zaidi ...
 
Nianze kwa kulaani kitendo alichofanya huyu Grace, cha kumuua mpenzi wake kwa kumteketeza kwa moto. Ni kitendo cha kinyama sana.

Funzo:
1. Tunatakiwe tuwe real kwenye mahusiano yetu. Ni dhambi kubwa sana kumuaminisha mtu kuwa unampenda halafu kumbe kuna mwingine unampenda na umeshamtambulisha kwenu.

Biblia inasema, "Upendo una nguvu sawa sawa na kifo" Si vyema kucheza na hisia za watu.

Kama mtu humupendi kwanini umdanganye?

Zungu amepokea mshahara wake aliositahili. Bado wewe unae-cheat sijui utapokea lini.

NB: Msianze kuhusisha kabila la mtu na upumbavu wake. Mambo hayo ni ya kizamani sana. Mimi Nebuchadinezzer nina mchumba mmoja tu tena Mchaga wa Machame. "She is very humble, beautiful and God-fearing.

Kama una mpango na demu wako, mwambie mwanzo kabisa sio kumfanya dada wa watu anawekeza kwako halafu mwisho wa siku, faida anakula mtu mwingine.

Poleni sana wafiwa.

PIA SOMA
Umehukumu upande mmoja. Je unajuaje kama Gilesi naye hakuwa mwaminifu?, hakuwa na lugha ya staha kwa bungu?, unajua ni sababu ipi iliyomfanya zungu acheat?

Wanawake wa sasa naamini unawatambua vzr. Hakuwa na sababu ya kumpa adhabu kali kiasi hicho. Kama zungu angekuwa ndg yangu basi Neema angeishuhudia yale maandiko ya kila aangamizaye kwa upanga ataangamia kwa upanga.

Neema au Gilesi alitakiwa kupewa adhabu ambayo hata punje ya mwili au kiungo chake kisingeonekana na binadamu yoyote yule.
 
atafunguliwa mashtaka, akiwa gerezani ataokoka na mbing iyamhusu.
 
Back
Top Bottom