Funzo kutoka Kenya: Katiba mpya au Tume huru sio suluhu ya uchaguzi wa Amani!

SAHIHISHO:
Mkuu wa Tume wa wakati huo, Marehemu KIVUITU hakutangazia wala kutolea MATOKEO ya UCHAGUZI mkuu wa nchi hiyo akiwa IKULU.

Hapo ingekuwa ni MBAYA zaidi katika USO wa KIMATAIFA. Matokeo yalitangaziwa jumba la mikutano na KICC likiwa limezungukwa na maaskari .

Na Ndipo baadaye sherehe za kuapishwa kwa KIBAKI zikafanyika jioni kati ya Saa 12 :30 na saa MOJA za jioni moja.
PILI:
KATIBA mpya ina UZURI wake pia, hasa IKIANGALIWA na kuondoa yale yasiyofaa KUWEMO katika katiba kama hii tunayoilililia maana ina MAZURI na mengine ni UNIMPLEMETABLE/YASIYOWEZA KUTEKELEZEKA kulingana na hali ya UCHUMI wetu jinsi ulivy nk.
. Hivyo basi inahitaji kurekebishwa ili IRIDHISHE WATANZANIA wote wa VYAMA vyote na wala si UPINZANI ama Chama TAWALA peke yake.
Marekani wamebadiri katiba mara 27 tangu wapate UHURU.
Tume HURU si jambo baya kama itaongeza KUKUZA DEMOKRASIA yetu na kuleta IMANI kwa wapiga kura wa vyama vyote husika.
 
mkuu...hii kumbukumbu yako ni ya kweli?
lakini tunakubaliana kuwa jamaa alitangazwa na kuapishwa chap chap
 
mkuu...hii kumbukumbu yako ni ya kweli?
lakini tunakubaliana kuwa jamaa alitangazwa na kuapishwa chap chap
Ni kweli. Ila pia nakubaliana nawe kuwa aliapishwa haraka haraka.
 
Huyo shetani aliyekutuma anaitwa nani?
 
No. Katiba mpya ni SUMU ya uchaguzi wa amani. Mshindwa ni Mshindwa tu, kama huna Katiba mpya anapata kisingizio, lakini hatofanya fujo zaidi ya kutaka kulala mita 200 au sabasaba kushabikia wasichana wapewe mimba. Ukimpa katiba mpya na bado AKASHINDWA sasa hana kidingizio, amani hutoweka. WM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyama vya upinzani kazi ni mtongozano tu na walimbwende na kuwaingiza kwenye viti maalumu,kama wanafanya mambo ya hovyo kwa kupewa madaraka kidogo tu sasa wakipewa nchi si ndio watalewa madaraka kabisa,Tanzania hatuna upinzani,tuna washerehekeshaji tu wa upinzani
 
Umesema kuwa katiba mpyà na tume huru so suluhisho la free and fair election, lakini hujatoa hatua mbadala kama suluhisho.
 
Kinachofanya msilale usingizi ni nini kama mnaepambana nae ni dhaifu?
Mmeweka vikwazo kila kona ama kweli siku hizi kuna aina mpya ya unafik.
Tufanye hivi ili kutenda haki kambi ya upinzani bungeni iwe inateua tume ya uchaguzi,mkikubali hili nawapa hongera zenu.
 
Mh???? Nini hiki??
 
Jina limekukaa vyema sana hebu sasa shona na suti upendeze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jina limekukaa vyema sana hebu sasa shona na suti upendeze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mpewe katiba ya marekani au India mtalalamika tu nyie.Tunakwenda hivi hivi,mlipewa nafasi mkaichezea kwa kususa.Kwa sasa kipaumbele ni viwanda na miundombinu sio katiba
Mtaji wa CCM ni masikini na mambumbumbu..ndio maana hawataki kuondoa umasikini mikoa ya Mwanza.Dodoma.Tabora.Singida.Shinyanga.Kigoma nk..na ndio sehemu wanapata kura nyingi...upinzani kawekeni kambi hayo maeneo..
 
Suruhisho ni nini au kipifanyike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taifa linaloongoza kuwa huzuni hili, na kwa mada kama hizi ni haki tusiwe na furaha. Lakn nikushukuru kwa kukiri kwamba tume sio huru
 
tangu siku ile prof kabudi alivyofafanua kuna nchi hazina sio tu katiba mpya bali hazina katiba kabisa na maisha yao yanakwenda mfano uingereza,israel,new zealand na Canada nilijufunza katiba sio mwarobaini wa matatizo ya mtanzania wakati wote.
mkuu hakuana nchi ambayo haina katiba ila ni kuwa kuna katiba za kuandikwa na wengine wanakatiba ambazo hazijaandikwa
 

Good post,ww ni genious kumbe kuna watu wanaona kama mm

NYANI ngabu kulike tu nimeona haitoshi


python mobile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…