Funzo kutoka Kenya: Katiba mpya au Tume huru sio suluhu ya uchaguzi wa Amani!

Tutengeneze katiba nzuri na tume huru ya uchaguzi halafu hayo mengine tutajua mbele ya safari, kwani mnaogopa nini
Sio kuogopa katoa mfano wa kenye ilitakiwa umpinge kwa hoja sio kumuangushia Zigo la woga
 
Hongera Rais Samia kwa msimamo
 
watanzania tujifunze kenya na yanayojiri baada ya kuwepo kwa katiba mpya
 
Always I told those stupid!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…