Funzo kwa baba wanaotelekeza watoto kwa mama zao

Usijaribu mkuu, kumruhusu aende nae kwao. Nilimpoteza mwanangu mwaka jana December sina uhakika kama nitakuja kusahau hii kitu.
 
Kuna mmoja nilizaa naye kumbe wakati mm namaliza chuo cjua kama alikuwa na mimba maana yeye alikuwa anasoma diploma kwahyo alinitangulia kumaliza kwa miezi kama minne hv. Sasa mm nilishaamaliza chuo nimeludi kwetu mkoani nayeye yupo kwao by march akanitafta nakunambia amejifungua akanitumia na picha za mtoto nikasema mbona ukanambia kabla ujamaliza chuo nakuondoka? Akanijibu aliogopa maana alijua nimebakiza siku chache kufanya mitiani yangu ya mwisho kwahyo hakutaka kunipa pressure. Mm nikaona hamna noma ngoja nimtumie nauli ili aje mkoani kwetu na mtoto lengo likiwa akifika ndo naoa mazima. Yule mwanamke na mama mkwe wakatafna nauli nawala hakumleta mtoto. Mm nikaona isiwe tabu nikakausha baada ya miezi nikamtafta sikumpata kwenye Cm ikabidi nimtafte mama yake ndo akanambia binti yake alienda Kenya nikamuulizia mtoto akasema anaye nikasema sawa pesa za matumizi nikawa namtumia mama mkwe.Mwaka ukapita nikaona namba mpya inanitafta kupokea nimama wa mtoto kumuuliza alipo akasema yupo dar nikasema sawa nikaenda dar kufika namtafta tuonane akasema kesho, kesho kufika namtafta anasema amebanana atakuja kesho nikasema ilikuwa niondoke kesho ila ngoja nihailishe safari tuonane tuone mtoto tunamleaje.Kesho ikafika kumtafta toka hasubui mpaka jioni hapokei cm. ikabidi niondoke. Sasa hv ananitafta mara mtoto anaumwa mara mtoto analilia kwenda kwao nimemjibu moja tu nilijitaidi kwa kila njinsi niwakati wako sasa utafte pesa umulete nyummbani mwenyewe ukishindwa basi.
 
Whats done is done....Jifunze kwa makosa,songa mbele as a man,acha kulialia na kujisemea maneno ya hovyo.May God grant u serenity to accept things you can not change.
 
Huu ujumbe subiri nimtumie rafiki yangu aliyetelekeza mtoto kwa kisingizio akiwa mkubwa atamtafuta baada ya kugombana na aliyezaa nae
"The worse prison in the world is a home without peace. Be very careful who you marry or fall in love with."

Johnny Depp.
 
Ni vile tu watu tumezoea kuona kawaida baada ya mtu fulan kutelekeza familia/watoto, tunasema mbona fulani hajapatwa na kitu na tena wa/mwanae alipokua amekuja kumtafuta. Lakini tukumbuke hao wa/mtoto ni viumbe hai( mwanadam ) mwenye nyama na damu, ameumbwa kwa kusudi maalum kabisa. je unadhani utakua salama baada ya kutenda yote mabaya kwao?

Sis sote ni wakosaji, lakini ukiona mwezio kanyolewa zako tia maji
 
Hujui kilio Wala tabasamu la mwanao akiwa mdogo...hujui stage zake zote mpaka amekua...afu unafurahia kumpata mtoto ukubwani....eti akikua atanitafuta....okee okee....
Mtoto ni mtamu kabla yakufikisha miaka 10 ukumbuke. Kakiwa na miezi, unakashika kanakuchekea ndiyo furaha ya mtoto. Akikua hana utamu tena. Kitendo cha kusubiri akue si cha kiungwana.
 
Hujui kilio Wala tabasamu la mwanao akiwa mdogo...hujui stage zake zote mpaka amekua...afu unafurahia kumpata mtoto ukubwani....eti akikua atanitafuta....okee okee....
Dada To yeye, umeandika kwa hisia kali sana..!!! Pole sana. Inawezekana umekumbushwa kitu na hii stori ya jamaa..!!
 
Finally Single Mothers wamepata uzi wa kuwafariji.

HONGERA MTOA MADA(STORI ZA KUTUNGA).

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Mtoto ni mtamu kabla yakufikisha miaka 10 ukumbuke. Kakiwa na miezi, unakashika kanakuchekea ndiyo furaha ya mtoto. Akikua hana utamu tena. Kitendo cha kusubiri akue si cha kiungwana.
Umemaliza bro😋
 
kama wamefikia atua ya kula nauli chukua mtoto mapema hiyo familia ni sumbufu, dawa ni kuwanyang'anya huyo mtoto maana wanataka kumtumia kama fimbo kukuswaga wanavyotaka.

kwani ni kabila gani huyo binti,pia unaweza kwenda dawati wala usione aibu
 
Huu uzi single mothers watapiga point tatu ugenini..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…