Funzo kwa baba wanaotelekeza watoto kwa mama zao

Kwanini usimchukue mkaishi pamoja? Kama alikuwa tayari hadi kupoteza kazi kwa ajili ya kiumbe chenu. Huyo binti inaonekana ni wife material kabisa!!
 
ujumbe mzito sana, unagusa wanaume weng sana wa aina yako. Mungu awape awarehem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…