Funzo kwa Tanzania: Shirika la ndege la South Africa limefilisika

Shirika kongwe la ndege la Afrika Kusini, limetangaza kufuta safari zake za nje ya nchi na baadhi ya safari za ndani, kutokana na kuishiwa fedha za uendesheji shirika linalozalisha hasara kwa miaka 9 mfululizo hadi sasa.

Shrika hili liliopata tuzo mbalimbali kwa ubora na huduma nzuri afrika na dunia kwa ujumla limeingia na kuwekwa katika uangalizi kwa mfilisi kutokana na kiasi kikubwa cha madni wanayodaiwa ambayo ni zaidi ya $3.9 billion toka 1994.

Habari hii ni mbaya na ishara mbaya kwa mashirika mengine ya ndege kutokana na gharama kubwa za uendeshaji na hasara ya mara kwa mara. Mashirika mengine yaliyo katika hali mbaya ya kiuchumi ni shirika la ndege la Kenya linaloendesha pia kwa hasara kwa zaidi ya miaka 5.

Hii inaleta tahadhari kubwa kwa mashirika ya ndege na biashara hii kwa ujumla.

Mashirika mengine ni Premera Air (Brazil), Saratov Air (Russia), Germania (German), Carfonia Parcific (USA), Jet Airways (India) na mengine mengi.

My take:
Serikali inayoendesha biashara ya usafirishaji wa anga (airlines) ni jasiri sana.
Beberu wee !
 
Sijawahi kuona mnaongelea Ethiopia airway ....kila kukicha ni Kenya na South Africa.... Kama mna nia nzur kwa nini msilete nyuzi kuelezea na Ethiopia walivyofanikiwa ili serikali ijifunze pia hapo?....Inaonekana siku ukisikia Ndege ya ATCL imeanguka utachekelea sana.
 
Ethiopia ni wazee wa kupika data shirika linapokea ruzuku kutoka serikalini...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili kuepuka tatizo la kujiendesha kwa hasara nashauri tu ndege ziwe kama daladala, unapark uwanja wa ndege na bango lako la destination via sehemu flani. Unasubiri abiria wajae ndiyo uruke, hawajajaa hutoi ndege. Maswala ya kuruka kwa kuangalia muda wa kuondoka (Time of departure) ni hasara tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa natafakari sana Quote ya huyu legend.
images%20(10).jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusitishane biashara huzaliwa na kufa. Kama wao wamekufa basi Airtz ndio imezaliwa sasa . Ukifuata maisha ya watu wengine utapata tabu saaaaaaana. Ishi maisha yako usiige. Airtz ikifa itafufuka Kq maisha yanasonga.
 
Shirika kongwe la ndege la Afrika Kusini, limetangaza kufuta safari zake za nje ya nchi na baadhi ya safari za ndani, kutokana na kuishiwa fedha za uendesheji shirika linalozalisha hasara kwa miaka 9 mfululizo hadi sasa.

Shrika hili liliopata tuzo mbalimbali kwa ubora na huduma nzuri afrika na dunia kwa ujumla limeingia na kuwekwa katika uangalizi kwa mfilisi kutokana na kiasi kikubwa cha madni wanayodaiwa ambayo ni zaidi ya $3.9 billion toka 1994.

Habari hii ni mbaya na ishara mbaya kwa mashirika mengine ya ndege kutokana na gharama kubwa za uendeshaji na hasara ya mara kwa mara. Mashirika mengine yaliyo katika hali mbaya ya kiuchumi ni shirika la ndege la Kenya linaloendesha pia kwa hasara kwa zaidi ya miaka 5.

Hii inaleta tahadhari kubwa kwa mashirika ya ndege na biashara hii kwa ujumla.

Mashirika mengine ni Premera Air (Brazil), Saratov Air (Russia), Germania (German), Carfonia Parcific (USA), Jet Airways (India) na mengine mengi.

My take:
Serikali inayoendesha biashara ya usafirishaji wa anga (airlines) ni jasiri sana.
Ktk mashirika karibu elfu, limefilisika hilo moja unaanza ogopa. Utakufa masikini..
 
Back
Top Bottom