Funzo kwa Tanzania: Shirika la ndege la South Africa limefilisika

Beberu wee !
 
Sijawahi kuona mnaongelea Ethiopia airway ....kila kukicha ni Kenya na South Africa.... Kama mna nia nzur kwa nini msilete nyuzi kuelezea na Ethiopia walivyofanikiwa ili serikali ijifunze pia hapo?....Inaonekana siku ukisikia Ndege ya ATCL imeanguka utachekelea sana.
 
Ethiopia ni wazee wa kupika data shirika linapokea ruzuku kutoka serikalini...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusitishane biashara huzaliwa na kufa. Kama wao wamekufa basi Airtz ndio imezaliwa sasa . Ukifuata maisha ya watu wengine utapata tabu saaaaaaana. Ishi maisha yako usiige. Airtz ikifa itafufuka Kq maisha yanasonga.
 
Ktk mashirika karibu elfu, limefilisika hilo moja unaanza ogopa. Utakufa masikini..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…