Uchaguzi 2020 Funzo nililolipata baada ya kupata 0 kwenye kura za maoni za udiwani CCM

Sasa mkuu ajira yangu na udiwani kipi kina maslahi zaidi?
 
Umeandika vzr Ila ulipochemsha Ni kusema diwani anayetetea kiti n
Sio mzawa wa kata yenu hii Ni lugha ya kibaguzi kwa sababu Maendeleo sio lazima yaletwe na mzawa wa pale,kuishi nje ya kata Sio hoja yenye mashiko kwa sababu tuna wabunge na madiwan hawaishi kwenye majimbo na kata zao Ila wanafanya kazi nzuri Sana.Wananchi wanataka hoja na mipango ya Maendeleo sio siasa za kibazazi et fulan sio mzawa
 
Na bado nalisisitiza Hilo kuwa sio mzawa maana hata yeye mwenyewe alishanaswa mahali akizungumza huko kwao maelezo yanayotafsirika kwa kifupi kuwa yeye hajazaliwa katani kwetu na taarifa tulizipata vizuri kabisa.Lakini pia bado wapiga kura wakawa wanalisisitiza hilo.
 
Wote watatu walitoa Sana rushwa ima walizidiana viwango.
Hii ni porojo tu. Hivi kweli mtoa mada unataka waachwe waliopigiwa kura uteuliwe wewe uliyepata sifuri? Kama hata ujanja wa kutoa rushwa umezidiwa na huyo wa darasa la saba, basi tafsiri yake Ni kwamba wewe una elimu lkn huna akili.

Kwenye michakato ya uchaguzi wanaoshinda ni wenye akili siyo wenye elimu.
 
Ndio maana ulipata zero kwa akili hii.Wewe mbona unafanya kazi sehem ambayo wewe sio mzawa? Rud ufanye hyo ajira kwenu
 
Nini kinakusukuma hadi uangaike hivo kwani kata yenu ni wewe tu? bilashaka ni tumbo.
 
Ndio maana ulipata zero kwa akili hii.Wewe mbona unafanya kazi sehem ambayo wewe sio mzawa? Rud ufanye hyo ajira kwenu
Sawa ndugu mjumbe,mwisho wa siku niliamua kuyaweka hadharani yaliyokuwa yakisemwa na wananchi kutuaminisha kuwa tunaweza kushinda kumbe walikuwa wanatuchora tu,mwisho wa siku sikuyaweka kwa ubaya,ila Kama Kama nilikosea kuyaweka au umenielewa vibaya basi uniwie radhi mkuu ili unijenge zaidi.
 
Shu Shukrani Sana kwa mchango wako.
 
Nini kinakusukuma hadi uangaike hivo kwani kata yenu ni wewe tu? bilashaka ni tumbo.
Tupo wengi,ila wasomi wengi wamekususa kwao na si kila mtu Ana wito Kama wangu.Na Sasa baada ya kukosa naendelea na ajira yangu.
 
Kwahiyo awamu zijazo nawe utatoa rushwa ama? Kumbuka mkono mtupu........
 
Nimewaza kama wewe
 

Yote matatu siyo mafunzo kwa sababu zifuatazo πŸ™1) Uongozi mwingi kwenye CCM nunendana na Rushawa na kila mtu anyegombea alitakiwa alijue hilo (2) Unachota unfiki siyo kweli bali ni nguvu ya ushawisi; sisa siku zote zinahusisha unafiki (3) CV siyo jambo la muhimu sana katika shughuli zote za kisiasa. Utakuwa ulifanya makesa kuwaomba wapiga kura wako kwa kuwaambia wewe ni msomi kuliko wao. Angalia yaliyomkuta Mwakyembe; unatakiwa utumie elimu yako kujenga ushawishi
 
Ushukuru kama hujachomolewa kwenye payroll,

Ila kaa standby waweza futwa any time.

Hii ya kusema ki cv mara ki elimu pia ni sababu kuwa hata wewe hujiamini. Ona std iv anakugalagaza.

Wenzio licha ya rushwa pia wanaroga wengine wanatoa pia matambiko.

Fanyeni kazi ikija kutokea automatically umeingia siasa itokee tu.

Mbona hamriziki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua naweza kukuambia kuwa siasa za nchi za dunia ya 3 nikama kichochoro cha watu flani kwaajili ya mambo flani, namaanisha kuwa huku ndio viongozi huwatapeli wananchi ya kutowatendea haki kama kusaini mikataba mibovu. Na kiongozi ni mfano mzuri kama baba wa familia ambaye hayuko tayari kuona familia inapata taabu sasa ni viongozi wangapi ambao wakimaliza uongozi wao wanawaachia wananchi stress za madeni mikataba mibovu n.k

Unaonyesha kuwa unaamini siasa ndio mafanikio yako ,yani hapa tayari umeshaanza waibia wananchi hata kabla hawajakuchagua

Sasa mkuu ajira yangu na udiwani kipi kina maslahi zaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…