Uchaguzi 2020 Funzo nililolipata baada ya kupata 0 kwenye kura za maoni za udiwani CCM

Ujamwona SHEMEJI YANGU moja katokaa NJE kawajazaa hadhadi ma PhD holder akiwamanisha atashinda uraisi SASA ile ndioo una.,...wenyewe HATAKAMA Unajua halihalisi n IPI

wasiojua janannimecheka nae ssana kwenyehilii nkafikia kusema ntutunxie na madadazetu SIO kwa style ya siasa HIZI,,......
furaha ikaendeleaaa mpwaaa is back
tunamshukuru Mungu kumrudisha AKIWA HAI na NGUVU mengineyo t unamwachia Mungu swabaannah wataala mjaza Neema ndogondogo na KUBWA ndefu na fupi Nene na nyembembaa
welcome BK
t.lissu
 
Hongera mkuu CCM yote inanuka rushwa na hivyo maendeleo ya nchi hii tutasikia Kenya tunasema kila siku angalau tupunguze huu utopolo lazima tuwe na katiba mpya ambayo itaweka misingi ya maendeleo kuanzia kwenye serikali, mahakama, pamoja na bunge, sasa wewe fikiria wabunge 300 wamehonga wajumbe ili wapate ubunge hivi tunakwenda wapi kama taifa? Hongera kwa kujaribu
Na katiba mpya tusiitegemee maCCM hayaitaki kwa makusudi sababu itaharibu ushenzi wao wa kuiba na kula rushwa.
 
Wajumbe , hawasikilizi hotuba yako ya kujinadi.

Kweli umejilipia kujifunza siasa, sasa yule atakayeteuliwa wewe jipendekeze kuwa mshirika wake.

Piga kampeni za nguvu kumnadi hiyo ndiyo njia ya kujitambulisha kwa wananchi.
Na nimeahidi kufanya hivyo bila kinyongo.
Ujamwona SHEMEJI YANGU moja katokaa NJE kawajazaa hadhadi ma PhD holder akiwamanisha atashinda uraisi SASA ile ndioo una.,...wenyewe HATAKAMA Unajua halihalisi n IPI

wasiojua janannimecheka nae ssana kwenyehilii nkafikia kusema ntutunxie na madadazetu SIO kwa style ya siasa HIZI,,......
furaha ikaendeleaaa mpwaaa is back
tunamshukuru Mungu kumrudisha AKIWA HAI na NGUVU mengineyo t unamwachia Mungu swabaannah wataala mjaza Neema ndogondogo na KUBWA ndefu na fupi Nene na nyembembaa
welcome BK
t.lissu
😁😁😁😁😁😁
 
Salamu zenu wakuu,

Kwa mara ya kwanza nami nikiwa Kama kijana nikatia nia ya kugombea udiwani kupitia CCM huko Katani kwetu.

Namshukuru Mungu mwingi wa rehema kwangu kwa kunipa ninachostahili katika zoezi lile la kura za maoni zilizofanyika jana siku ya Jumamosi ya tarehe 25/07/2020.

Kwanza nilijitahidi kukutana na wajumbe kadhaa kuwaeleza dhamira yangu ya dhati ya kuwatumikia maana kata yet in changamoto sugu mno wapendwa,na hii Hali hivyo kutokana na ukweli usiopingika kuwa diwani aliyekuwa akitetea kiti hana siasa zenye manufaa hata kidogo,kwa ufupi tu ni mzee,ameishia darasa la 4,si mzawa wa ile kata na mpaka sasa aslimia 80 ya shughuli na makazi yake yapo nje ya kata yetu.

Basi kwa kaelimu haka nilikopata nilamini kwamba kwa haka ka CV nilikonako basi nikirudi Kule nyumbani kuwa naamua kuiweka rehani ajira yangu kwa kuwaeleza hoja kisomi namna tunavyoguswa na changamoto za katani kwetu maana mkataa kwao ni mtumwa.

Basi kweli nikawaeleza wajumbe wengi tu wakifurahishwa na ujio na wakanipongeza Sana na wakasema hawataniangusha,basi nikawaamini na sikuona sababu ya kutoa rushwa nikiamini kuwa ukweli wangu na uadilifu mkubwa utanipa kura za kutosha kuliko wale wanaomwaga hela mtaani.

Kumbe nilikuwa najidanganya,wagombea tulikuwa 8,watatu tulikuwa watumishi wa umma,mmoja ni mstaafu,watatu ni Drs la 7 kwa elimu yao na mmoja aliishia Drs la 4(mgombea aliyekuwa anatetea nafasi yake)

Baada ya kura za maoni matokeo yakawa kama ifuatavyo:

- Anayetetea kura 23 (Drs la 4)
- Wa pili kura 22 (elimu VII)
- Watatu kura 14(elimu VII)
- Wa nne kura 1(mwajiriwa) nayo alijipigia mwenyewe kwa sababu ni mjumbe.
- Wa tano kura 0 (elimu VII)
- Mstaafu kura 0.
- Mimi na mwenzangu kura 0 (vijana wasomi na waajiriwa)

Wapiga kura walikuwa 63, kura tatu ziliharibika.

FUNZO NILILOLIPATA
1. Katika kugombea kitu Cha kwanza ni MTAJI WA FEDHA KWA AJILI YA RUSHWA.
2. Jambo la pili ni UNAFIKI.
3. CV ni na ukweli ni Jambo la ziada tu.

Nimefurahi kupata hiyo 0 maana hata ningepata kura moja tu ingenisumbua kwa kuanza kujiuliza ni Nani aliyenipa hivyo Kila mmoja angekuja kinafiki kusema amenipigia yeye kumbe ni uongo.

Gharama zote nilizotumia katika mchakato huo nimechukulia kuwa ni sawa na kuwa nililipa ada ya kujifunza siasa kwa vitendo.

Sijavunjika Sana moyo na sirudi nyuma,dhamira ya kuwatumikia wananchi bado ipo hata kwa awamu nyingine huku nikisahihisha makosa yaliyonigharimu awamu hii,nitamuunga mkono yeyote atakayeteuliwa na chama,Wala sihami chama.

Wengi wamenipa pole lakini kiukomavu nimejibu kuwa wasinipe pole Bali hongera,ila pole hiyo itawarudia wao endapo wamepiga kura kinafiki kisa tu wamejazwa minoti na hivyo watakuwa wamesaliti matakwa ya wananchi lakini na endapo kweli wamepiga kura kwa uhalali basi nami naungana nao kwa baraka zote.

Kwa taarifa zilizopo sasa, jana ileile watu walianza kurudisha kadi za chama wanataka kuhamia CHADEMA. Wale wote waliopata kura nyingi Kila mtu alitengeneza kundi lake na hivyo linahatarisha sana uhai wa chama maana wananchi wanatoa kauli za kutotoa ushirikiano endapo yule diwani anayetetea nafasi akirudishwa kuwa mgombea maana hawaoni matunda yake kwa miaka yote 15 aliyotumikia. Wote watatu walitoa Sana rushwa ima walizidiana viwango.

Hii ndiyo ndiyo siasa ilivyo, tukutane 2025.

Ni Mimi niyeyekuwa mtia nia Udiwani CCM.
Kata ya UHENGA
Jimbo & Wilaya ya Wanging'ombe
Mkoa NJOMBE.
Mkumbushe Lissu kuwa akipata kura 0 asishangae.
Pia usisubiri miaka 5 ijayo ili kuwatumikia wananchi, watumikie sasa kwa dhati ili baada ya miaka 5 wakufuate wenyewe wakikusihi ugombee
 
Nakushukuru kwa ushauri wako mkoo,nami nimepanga kufanya hivyo bila kinyongo na nitashirikiana na diwani atakayeteuliwa bila unafiki.Ahadi nilizoziahidi zilizo ndani ya uwezo wangu nitazitekeleza katika kipindi hiki.
 
FUNZO NILILOLIPATA
1. Katika kugombea kitu Cha kwanza ni MTAJI WA FEDHA KWA AJILI YA RUSHWA.
2. Jambo la pili ni UNAFIKI.
3. CV ni na ukweli ni Jambo la ziada tu.
Mlimwamini jiwe kuwa Rushwa imeisha! Hahahaha I once said it kuwa rushwa ndio kwanza imenoga na kuhalalishwa kipindi hiki.... Asante kwa kukiri
 
Salamu zenu wakuu,

Kwa mara ya kwanza nami nikiwa Kama kijana nikatia nia ya kugombea udiwani kupitia CCM huko Katani kwetu.

Namshukuru Mungu mwingi wa rehema kwangu kwa kunipa ninachostahili katika zoezi lile la kura za maoni zilizofanyika jana siku ya Jumamosi ya tarehe 25/07/2020.

Kwanza nilijitahidi kukutana na wajumbe kadhaa kuwaeleza dhamira yangu ya dhati ya kuwatumikia maana kata yet in changamoto sugu mno wapendwa,na hii Hali hivyo kutokana na ukweli usiopingika kuwa diwani aliyekuwa akitetea kiti hana siasa zenye manufaa hata kidogo,kwa ufupi tu ni mzee,ameishia darasa la 4,si mzawa wa ile kata na mpaka sasa aslimia 80 ya shughuli na makazi yake yapo nje ya kata yetu.

Basi kwa kaelimu haka nilikopata nilamini kwamba kwa haka ka CV nilikonako basi nikirudi Kule nyumbani kuwa naamua kuiweka rehani ajira yangu kwa kuwaeleza hoja kisomi namna tunavyoguswa na changamoto za katani kwetu maana mkataa kwao ni mtumwa.

Basi kweli nikawaeleza wajumbe wengi tu wakifurahishwa na ujio na wakanipongeza Sana na wakasema hawataniangusha,basi nikawaamini na sikuona sababu ya kutoa rushwa nikiamini kuwa ukweli wangu na uadilifu mkubwa utanipa kura za kutosha kuliko wale wanaomwaga hela mtaani.

Kumbe nilikuwa najidanganya,wagombea tulikuwa 8,watatu tulikuwa watumishi wa umma,mmoja ni mstaafu,watatu ni Drs la 7 kwa elimu yao na mmoja aliishia Drs la 4(mgombea aliyekuwa anatetea nafasi yake)

Baada ya kura za maoni matokeo yakawa kama ifuatavyo:

- Anayetetea kura 23 (Drs la 4)
- Wa pili kura 22 (elimu VII)
- Watatu kura 14(elimu VII)
- Wa nne kura 1(mwajiriwa) nayo alijipigia mwenyewe kwa sababu ni mjumbe.
- Wa tano kura 0 (elimu VII)
- Mstaafu kura 0.
- Mimi na mwenzangu kura 0 (vijana wasomi na waajiriwa)

Wapiga kura walikuwa 63, kura tatu ziliharibika.

FUNZO NILILOLIPATA
1. Katika kugombea kitu Cha kwanza ni MTAJI WA FEDHA KWA AJILI YA RUSHWA.
2. Jambo la pili ni UNAFIKI.
3. CV ni na ukweli ni Jambo la ziada tu.

Nimefurahi kupata hiyo 0 maana hata ningepata kura moja tu ingenisumbua kwa kuanza kujiuliza ni Nani aliyenipa hivyo Kila mmoja angekuja kinafiki kusema amenipigia yeye kumbe ni uongo.

Gharama zote nilizotumia katika mchakato huo nimechukulia kuwa ni sawa na kuwa nililipa ada ya kujifunza siasa kwa vitendo.

Sijavunjika Sana moyo na sirudi nyuma,dhamira ya kuwatumikia wananchi bado ipo hata kwa awamu nyingine huku nikisahihisha makosa yaliyonigharimu awamu hii,nitamuunga mkono yeyote atakayeteuliwa na chama,Wala sihami chama.

Wengi wamenipa pole lakini kiukomavu nimejibu kuwa wasinipe pole Bali hongera,ila pole hiyo itawarudia wao endapo wamepiga kura kinafiki kisa tu wamejazwa minoti na hivyo watakuwa wamesaliti matakwa ya wananchi lakini na endapo kweli wamepiga kura kwa uhalali basi nami naungana nao kwa baraka zote.

Kwa taarifa zilizopo sasa, jana ileile watu walianza kurudisha kadi za chama wanataka kuhamia CHADEMA. Wale wote waliopata kura nyingi Kila mtu alitengeneza kundi lake na hivyo linahatarisha sana uhai wa chama maana wananchi wanatoa kauli za kutotoa ushirikiano endapo yule diwani anayetetea nafasi akirudishwa kuwa mgombea maana hawaoni matunda yake kwa miaka yote 15 aliyotumikia. Wote watatu walitoa Sana rushwa ima walizidiana viwango.

Hii ndiyo ndiyo siasa ilivyo, tukutane 2025.

Ni Mimi niyeyekuwa mtia nia Udiwani CCM.
Kata ya UHENGA
Jimbo & Wilaya ya Wanging'ombe
Mkoa NJOMBE.
CCM kama huna hela wewe andika maumivu
 
JPM wala hakubaliani na rushwa. Ndio maana chama kimeweka utaratibu wa kuwachuja upya wagombea ili kuwaondoa watoa rushwa.

na wagombea wengine waliopita wapo mikononi mwa takukuru na kamati kuu itawaengua.
Ahahahaha basi itawaondoa wote, maaana hakuna aliyepita bila kugawa pesa, ila nashkru tu kwa kumtia adabu Mwakyembe
 
Salamu zenu wakuu,

Kwa mara ya kwanza nami nikiwa Kama kijana nikatia nia ya kugombea udiwani kupitia CCM huko Katani kwetu.

Namshukuru Mungu mwingi wa rehema kwangu kwa kunipa ninachostahili katika zoezi lile la kura za maoni zilizofanyika jana siku ya Jumamosi ya tarehe 25/07/2020.

Kwanza nilijitahidi kukutana na wajumbe kadhaa kuwaeleza dhamira yangu ya dhati ya kuwatumikia maana kata yet in changamoto sugu mno wapendwa,na hii Hali hivyo kutokana na ukweli usiopingika kuwa diwani aliyekuwa akitetea kiti hana siasa zenye manufaa hata kidogo,kwa ufupi tu ni mzee,ameishia darasa la 4,si mzawa wa ile kata na mpaka sasa aslimia 80 ya shughuli na makazi yake yapo nje ya kata yetu.

Basi kwa kaelimu haka nilikopata nilamini kwamba kwa haka ka CV nilikonako basi nikirudi Kule nyumbani kuwa naamua kuiweka rehani ajira yangu kwa kuwaeleza hoja kisomi namna tunavyoguswa na changamoto za katani kwetu maana mkataa kwao ni mtumwa.

Basi kweli nikawaeleza wajumbe wengi tu wakifurahishwa na ujio na wakanipongeza Sana na wakasema hawataniangusha,basi nikawaamini na sikuona sababu ya kutoa rushwa nikiamini kuwa ukweli wangu na uadilifu mkubwa utanipa kura za kutosha kuliko wale wanaomwaga hela mtaani.

Kumbe nilikuwa najidanganya,wagombea tulikuwa 8,watatu tulikuwa watumishi wa umma,mmoja ni mstaafu,watatu ni Drs la 7 kwa elimu yao na mmoja aliishia Drs la 4(mgombea aliyekuwa anatetea nafasi yake)

Baada ya kura za maoni matokeo yakawa kama ifuatavyo:

- Anayetetea kura 23 (Drs la 4)
- Wa pili kura 22 (elimu VII)
- Watatu kura 14(elimu VII)
- Wa nne kura 1(mwajiriwa) nayo alijipigia mwenyewe kwa sababu ni mjumbe.
- Wa tano kura 0 (elimu VII)
- Mstaafu kura 0.
- Mimi na mwenzangu kura 0 (vijana wasomi na waajiriwa)

Wapiga kura walikuwa 63, kura tatu ziliharibika.

FUNZO NILILOLIPATA
1. Katika kugombea kitu Cha kwanza ni MTAJI WA FEDHA KWA AJILI YA RUSHWA.
2. Jambo la pili ni UNAFIKI.
3. CV ni na ukweli ni Jambo la ziada tu.

Nimefurahi kupata hiyo 0 maana hata ningepata kura moja tu ingenisumbua kwa kuanza kujiuliza ni Nani aliyenipa hivyo Kila mmoja angekuja kinafiki kusema amenipigia yeye kumbe ni uongo.

Gharama zote nilizotumia katika mchakato huo nimechukulia kuwa ni sawa na kuwa nililipa ada ya kujifunza siasa kwa vitendo.

Sijavunjika Sana moyo na sirudi nyuma,dhamira ya kuwatumikia wananchi bado ipo hata kwa awamu nyingine huku nikisahihisha makosa yaliyonigharimu awamu hii,nitamuunga mkono yeyote atakayeteuliwa na chama,Wala sihami chama.

Wengi wamenipa pole lakini kiukomavu nimejibu kuwa wasinipe pole Bali hongera,ila pole hiyo itawarudia wao endapo wamepiga kura kinafiki kisa tu wamejazwa minoti na hivyo watakuwa wamesaliti matakwa ya wananchi lakini na endapo kweli wamepiga kura kwa uhalali basi nami naungana nao kwa baraka zote.

Kwa taarifa zilizopo sasa, jana ileile watu walianza kurudisha kadi za chama wanataka kuhamia CHADEMA. Wale wote waliopata kura nyingi Kila mtu alitengeneza kundi lake na hivyo linahatarisha sana uhai wa chama maana wananchi wanatoa kauli za kutotoa ushirikiano endapo yule diwani anayetetea nafasi akirudishwa kuwa mgombea maana hawaoni matunda yake kwa miaka yote 15 aliyotumikia. Wote watatu walitoa Sana rushwa ima walizidiana viwango.

Hii ndiyo ndiyo siasa ilivyo, tukutane 2025.

Ni Mimi niyeyekuwa mtia nia Udiwani CCM.
Kata ya UHENGA
Jimbo & Wilaya ya Wanging'ombe
Mkoa NJOMBE.
wajumbe noma!
 
Wasomi wengi wameanguka kwa sababu waliamini kuwa kiongozi Tz ni CV yako tu ,wakati wengine wanaamini rushwa na wajumbe wanasubiri rushwa.
Lazima iwekwe system mpya ya kuondokana na hili tatizo
 
Kabisa mkuu,kwa mara ya kwanza kwa macho yangu nimethibitisha kuwa kweli rushwa ni adui wa Hali.Wengi walioongoza kura hizo wametoa Sana rushwa na sijui tunatengeneza taifa la namna gani kiukweli.Namuonea huruma Sana mheshimiwa Rais kuwa ndoto yake ya Tanzania bila rushwa inahujumiwa mno.
 
Siasa ni biashara.... na biashara zinahitaji pesa, mwaka huu mmejifunza wengi. 2025 mtakuwa wachache
 
Kubari umeshindwa kwa ujinga wako sio kwa sababu ya rushwa wala nn. Kwanza mnaojiita wasomi mnatabia ambazo si rahis mtu kukuamin
  1. Kutopenda kushirikiana na watu mnao waita darasa la 7 katika jamii zenu wakat ndio wapiga kura wenu.
  2. Kionekana karibu na wajumbe wakati wa uchaguzi tu ( ulisha wai ama ulikuwa na mahusiano au ukaribu gani na wajumbe hapo nyuma kabla ya uchaguzi?)
  3. Wengi wa watiania juhudi zenu ndani ya chama katika eneo hisika zilikuwa hazijulikani ( mtu ajawai kuwa ata mwenyekiti wa vijana wa kata wa chama alaf anataka watu wamuamin karahis rahis tu)
  4. Mnaubaguzi sana nakujiona kuwa nyie ni bora ( kujiita msomi alafu ukamuita mwingne"darasa la saba" jua umeisha jitenga nae)
  5. Mnasahau kuwa wajumbe ni wapelelezi japo ni darasa la saba kama mnavyo waita ( unasema ww ni msomi utashrikiana nao wakati ata kwenye misiba na visherehe vya mtaan kwako uwa hauuzulii, sasa hapo ushirikiana nao aje?)
Kama kweli una nia ya kugombea tena acha kuishi maisha mnayoita ya kisomi kumbe mnajitenga na jamii zenu, ishi kisomi ndan mwako tu ukitoka nje jichanganye nao, shiriki katika kila shughuri ya kijamii inayojitokeza pale mtaan kwako ww pamoja na familia yako, iwe ni yachama ama ya jamii nzima,

NB: ili uteke ukaribu na jamii yako jitoe ww na familia yako sana kwenye matukio yanoyo usisha jamii moja kwa moja kama vile misiba hapa ndio tunajuaga nan yupo nas na nan kajitenga nas. Kumbuka ata ukipita kwa rushwa mwisho wa siku jamii itaangalia nan yupo karibu nayo zaid ndio watamchagua
 
Walioshinda wengi ni kwa kuwa

1. Walitoa takrima/rushwa

2. Wapo kwenye inner circle ya chama ('wanafahamika' kwa wajumbe).
 
Salamu zenu wakuu,

Kwa mara ya kwanza nami nikiwa Kama kijana nikatia nia ya kugombea udiwani kupitia CCM huko Katani kwetu.

Namshukuru Mungu mwingi wa rehema kwangu kwa kunipa ninachostahili katika zoezi lile la kura za maoni zilizofanyika jana siku ya Jumamosi ya tarehe 25/07/2020.

Kwanza nilijitahidi kukutana na wajumbe kadhaa kuwaeleza dhamira yangu ya dhati ya kuwatumikia maana kata yet in changamoto sugu mno wapendwa,na hii Hali hivyo kutokana na ukweli usiopingika kuwa diwani aliyekuwa akitetea kiti hana siasa zenye manufaa hata kidogo,kwa ufupi tu ni mzee,ameishia darasa la 4,si mzawa wa ile kata na mpaka sasa aslimia 80 ya shughuli na makazi yake yapo nje ya kata yetu.

Basi kwa kaelimu haka nilikopata nilamini kwamba kwa haka ka CV nilikonako basi nikirudi Kule nyumbani kuwa naamua kuiweka rehani ajira yangu kwa kuwaeleza hoja kisomi namna tunavyoguswa na changamoto za katani kwetu maana mkataa kwao ni mtumwa.

Basi kweli nikawaeleza wajumbe wengi tu wakifurahishwa na ujio na wakanipongeza Sana na wakasema hawataniangusha,basi nikawaamini na sikuona sababu ya kutoa rushwa nikiamini kuwa ukweli wangu na uadilifu mkubwa utanipa kura za kutosha kuliko wale wanaomwaga hela mtaani.

Kumbe nilikuwa najidanganya,wagombea tulikuwa 8,watatu tulikuwa watumishi wa umma,mmoja ni mstaafu,watatu ni Drs la 7 kwa elimu yao na mmoja aliishia Drs la 4(mgombea aliyekuwa anatetea nafasi yake)

Baada ya kura za maoni matokeo yakawa kama ifuatavyo:

- Anayetetea kura 23 (Drs la 4)
- Wa pili kura 22 (elimu VII)
- Watatu kura 14(elimu VII)
- Wa nne kura 1(mwajiriwa) nayo alijipigia mwenyewe kwa sababu ni mjumbe.
- Wa tano kura 0 (elimu VII)
- Mstaafu kura 0.
- Mimi na mwenzangu kura 0 (vijana wasomi na waajiriwa)

Wapiga kura walikuwa 63, kura tatu ziliharibika.

FUNZO NILILOLIPATA
1. Katika kugombea kitu Cha kwanza ni MTAJI WA FEDHA KWA AJILI YA RUSHWA.
2. Jambo la pili ni UNAFIKI.
3. CV ni na ukweli ni Jambo la ziada tu.

Nimefurahi kupata hiyo 0 maana hata ningepata kura moja tu ingenisumbua kwa kuanza kujiuliza ni Nani aliyenipa hivyo Kila mmoja angekuja kinafiki kusema amenipigia yeye kumbe ni uongo.

Gharama zote nilizotumia katika mchakato huo nimechukulia kuwa ni sawa na kuwa nililipa ada ya kujifunza siasa kwa vitendo.

Sijavunjika Sana moyo na sirudi nyuma,dhamira ya kuwatumikia wananchi bado ipo hata kwa awamu nyingine huku nikisahihisha makosa yaliyonigharimu awamu hii,nitamuunga mkono yeyote atakayeteuliwa na chama,Wala sihami chama.

Wengi wamenipa pole lakini kiukomavu nimejibu kuwa wasinipe pole Bali hongera,ila pole hiyo itawarudia wao endapo wamepiga kura kinafiki kisa tu wamejazwa minoti na hivyo watakuwa wamesaliti matakwa ya wananchi lakini na endapo kweli wamepiga kura kwa uhalali basi nami naungana nao kwa baraka zote.

Kwa taarifa zilizopo sasa, jana ileile watu walianza kurudisha kadi za chama wanataka kuhamia CHADEMA. Wale wote waliopata kura nyingi Kila mtu alitengeneza kundi lake na hivyo linahatarisha sana uhai wa chama maana wananchi wanatoa kauli za kutotoa ushirikiano endapo yule diwani anayetetea nafasi akirudishwa kuwa mgombea maana hawaoni matunda yake kwa miaka yote 15 aliyotumikia. Wote watatu walitoa Sana rushwa ima walizidiana viwango.

Hii ndiyo ndiyo siasa ilivyo, tukutane 2025.

Ni Mimi niyeyekuwa mtia nia Udiwani CCM.
Kata ya UHENGA
Jimbo & Wilaya ya Wanging'ombe
Mkoa NJOMBE.
Tunashukuru sana kwa kutuhakikishia pasipo shaka kuwa ccm na rushwa ni sawa na pete na chanda.
 
Unajua nivigumu mwanasiasa yeyote kukiri au kukubali kuwa kipaumbele cha kwanza chake ni malengo binafsi na pili kuwatumukia wananchi kama kipaumbele chake chamwisho.. Mfano kuacha ukuu wa mkoa nakuja kugombania ubunge . huhitaji akili kubwa kufumbua hili fumbo

Nashukuru Sana mkuu kwa kunitia moyo.

Kwanini umeniona nipo kwa pesrsonal interests mkuu? Funguka nijirekebishe maana maana sipendi nionwe hivyo wakati Sina uchu huo wa madaraka zaidi ya dhamira yangu ya dhati ya kuwatumikia wananchi na ndiyo maana utaona nimeipokea hiyo sifuri kwa mikono miwili kuliko ningepata hata kura moja.
 
Acheni kudharau wajumbe, mnawaita darasa la saba na mnajiona wasomi.
Wajumbe hawana shida na dharau wala nini, wana vigezo vyao wale..wewe dharau unavyoweza lakini ukiweza kutunisha mifuko yao wanakupa baraka zote.
 
Back
Top Bottom