chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
- Thread starter
- #21
Una akili kama za hiyo profile pictureHivi chiembe kwann mnajipa akili kuwa ni lazima kuanzisha Uzi?
Haya mashudu mengine mnayoandikaga zaidi ya kujaza server ya JF mnatumalizia chaji za simu.
Mnaishi Kwa kutembea na biti hadi lini?? Hamuoni aibu hivi?
Kwahiyo unambishia Shaka boss wako aliyesema Kuna umuhimu kubadili katiba?