Uchaguzi 2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

Uchaguzi 2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

Wakala

Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
57
Reaction score
66
Habari,

Naomba kupata Taarifa ya mshindi wa kura za Maoni Jimbo la Kawe ndugu Furaha Dominic ni nani haswa?

Imekuwaje akawashinda vigogo wengine kwenye kura za maoni ndani ya CCM katika Jimbo la Kawe?

Je, ni mpinzani sahihi kwa Halima Mdee kwenye uchaguzi wa Oktoba?

Furaha.jpg
 
Mdee anashinda tena.

Naona Gwajboy aka Mkono wa baunsa, kapata kura 79 kajitahidi kawa wa tatu.
Bora kakosa. Gwajboy angepata angeligawa kanisa la Bwana. We unadhani kwa siasa zetu za bongo jinsi wabunge wanavyowananga wenye itikadi tofauti nao, unadhani ni mwanachamaa gani wa upinzani angebaki muumini wake!!?? Angebaki na waccm wenzake tu!!!
 
Back
Top Bottom