Uchaguzi 2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

Uchaguzi 2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

Habari,

Naomba kupata Taarifa ya mshindi wa kura za Maoni Jimbo la Kawe ndugu Furaha Dominic ni nani haswa?

Imekuwaje akawashinda vigogo wengine kwenye kura za maoni ndan ya CCM katika Jimbo la Kawe?

Je, ni mpinzani sahihi kwa Halima Mdee kwenye uchaguzi wa Oktoba?

Mpinzani wa Halima ni msimamizi wa uchaguzi, sio huyu.
 
Habari,

Naomba kupata Taarifa ya mshindi wa kura za Maoni Jimbo la Kawe ndugu Furaha Dominic ni nani haswa?

Imekuwaje akawashinda vigogo wengine kwenye kura za maoni ndan ya CCM katika Jimbo la Kawe?

Je, ni mpinzani sahihi kwa Halima Mdee kwenye uchaguzi wa Oktoba?

Sijui lakini ni kama CCM tumelambwa !
Imetokea nini?
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Huyu ameshachukua jimbo asee, yuko vizuri katika strategia.. very humble in his lane.
Nami nawaza hivo ,Ila nakosa Final say kwa kuwa sina file lake lolote inakuwa ngumu kujipa matumain ya kimawazo pasipo kuwa na strong folder juu yake

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Wanasema kuingia vitani na adui usiomjua ni sawa na kushindwa vita kwa asilimia 50. Hivyo huwezi jua maana kama kaweza kuongoza kwa kura za maoni kama sura mpya, hii inabidi ikupe ishara flani mkuu
 
Following,kijana kaangusha mibuyu. Nini siri ya ushindi wake ?
Nadhani atakuwa hana sifa chafu au hana sifa chafu nyingi kama hao wenye majina makubwa.
1.Gwajima kutafuna kondoo na maneno mengi ya fix kumemponza.
2. Mashinji msaliti wa wapenda mabadiliko na watetezi wa wananchi.
3. Benja Sitta anatumia mbeleko ya baba kujibeba lakini hakuna alichofanya hata alipoupata umeya wa magumashi.
4. Mwijaku ni tapeli tuu
5. Pascal ni kwa vile tuu hakuomba ridhaa ya JF. Tulitoa tamko kuwa memba asiyepata kibali anafyekwa
6.
7.
Ila na yeye brake yake itakuwa kwa Iron lady 28/10
 
Wanasema kuingia vitani na adui usiomjua ni sawa na kushindwa vita kwa asilimia 50. Hivyo huwezi jua maana kama kaweza kuongoza kwa kura za maoni kama sura mpya, hii inabidi ikupe ishara flani mkuu
Nataman pia wengine ,waungane mm na ww kwenye ili! Haiwezekan Vigogo wote wale wakakalishwa na dogo! Kuna jambo sio kawaida

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Mpaka page ya 40 hakuna anaemfahamu huyo dogo...Labda tumuuliza pasco huyo mbabe wao anamfahamu vipi.
CCM tuna watu kibao kuna frontliners na back benchers hidden in dark places.Usishangae mtu kuibuka paap huyu hapa!! Kama kwenda mbinguni hivi unaenda kukutana na usiowajua!!!
 
2462218_Edc-TIXXkAM3LJs.jpg

Gwajiboy kapata ngapi tuanzie hapo
 
Back
Top Bottom