Uchaguzi 2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

Uchaguzi 2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

Victoire

FURAHA DOMINIC JACOB aliyeongoza KURA za UBUNGE Kawe wengi mkawa mnajiuliza ni nani; huyu ni mtoto wa dada yake Rais Magufuli.
Basi dogo kumbe ni mgombea maalum. Nimejiuliza sana hiyo influence kaipata wapi ?Basi sina swali tena. Na huyu ndo mgombea rasmi wa CCM kupitia kawe. Hapa mkakati ulisukwa aisee.
 
Habari,

Naomba kupata Taarifa ya mshindi wa kura za Maoni Jimbo la Kawe ndugu Furaha Dominic ni nani haswa?

Imekuwaje akawashinda vigogo wengine kwenye kura za maoni ndan ya CCM katika Jimbo la Kawe?

Je, ni Mpinzani sahihi kwa Halima Mdee kwenye uchaguzi wa Oktoba?

Ni Bagamoyo tu. Babu kavuna!
 
Kwanini mwenyekiti kaongea sana sana baada!!! Angempa hongera mshindi na kupunguza maneno mengiiiii, ambayo yameonyesha aliyemtaka hakupata kura alizotegemea.
 
Watu tumebaki midomo wazi nani huyu dogo aangushe vigogo vilivyokuwa vinapewa nafasi kubwa ya kushinda. Sasa siri yote nje kumbe ni mzito fulani hivi kupitia bega la mjomba 😜😜

Basi dogo kumbe ni mgombea maalum. Nimejiuliza sana hiyo influence kaipata wapi ?Basi sina swali tena. Na huyu ndo mgombea rasmi wa CCM kupitia kawe. Hapa mkakati ulisukwa aisee.
 
Mwenyekiti anasifia CV na kazi zijazo, hata uchaguzi bado. Imeonyesha sababu ya jimbo hilo kupata watia nia wengi ni kupeleka CV tu na kusubiri. Mwaka 2025 watapata 500 kuwakilisha CV na kusubiri uteuzi, shame kwa aliyoyaongea hata kama yanajulikana.
 
Back
Top Bottom