kirumonjeta
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 3,966
- 1,965
Kampeni zishaanzaHuyu ameshachukua jimbo asee, yuko vizuri katika strategia.. very humble in his lane.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kampeni zishaanzaHuyu ameshachukua jimbo asee, yuko vizuri katika strategia.. very humble in his lane.
Njaa ndo nani?
Bila hata ungosha, kijana yupo smart na maisha yake yapo smart kuanzia uhusiano wake hana makuu.. ana mpenzi wake mmoja wanapenda sanaaa.. wapo kama kumbi kumbi.. nafurahi maisha yake kuanzia chuo, ya mahusiano na hata kijamiiKumbe ni ngosha wa Chato. Hongera kwake. Basi mpaka hapa kijana hawezi kukatwa.
Na ana confidence ya ki uongozi hana panick anajua how to behave kwenye public, a very good public speakerDogo anaonekana yupo vizuri kichwani. Ila naona alikuwa field zaidi. Kijiji baada ya kijiji.
Basi dogo kumbe ni mgombea maalum. Nimejiuliza sana hiyo influence kaipata wapi ?Basi sina swali tena. Na huyu ndo mgombea rasmi wa CCM kupitia kawe. Hapa mkakati ulisukwa aisee.Victoire
FURAHA DOMINIC JACOB aliyeongoza KURA za UBUNGE Kawe wengi mkawa mnajiuliza ni nani; huyu ni mtoto wa dada yake Rais Magufuli.
Twitani wanasema ni mtoto wa Dada sasa sijui dada yupi Halima au Esther BulayaMkuje basi mtuambie
Kuna wakati nakukubali Sana wewe popoma mwandamizi 🤣🤣🤣Kwani Leo Jumuiya nzima ya wana JamiiForums tumeombwa Msamaha na nani Mkuu? Hebu acha Kunipotezea muda kama humjui Kafie Mbele!
Hongera kwake. Yupo Smart na ndo maana akawekwa Kawe .Bila hata ungosha, kijana yupo smart na maisha yake yapo smart kuanzia uhusiano wake hana makuu.. ana mpenzi wake mmoja wanapenda sanaaa.. wapo kama kumbi kumbi.. nafurahi maisha yake kuanzia chuo, ya mahusiano na hata kijamii
Mungu ampiganie ashinde.Hongera kwake. Yupo Smart na ndo maana akawekwa Kawe .
Nilikuwa nasubiria hii comment.. mtu asipofahamika sana huwa lazima tudhani ni usalamaAtakuwa usalama
Habari,
Naomba kupata Taarifa ya mshindi wa kura za Maoni Jimbo la Kawe ndugu Furaha Dominic ni nani haswa?
Imekuwaje akawashinda vigogo wengine kwenye kura za maoni ndan ya CCM katika Jimbo la Kawe?
Je, ni Mpinzani sahihi kwa Halima Mdee kwenye uchaguzi wa Oktoba?
Kampeni zishaanza
Mwaka mgumu Sana huu kwa makahaba wa kisiasa kama huyu ex- wa CDMUsiku wa Leo ,kwake akikaa akifikiria anaweza kujiona mjinga kwa kura 2 ha ha ha
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Basi dogo kumbe ni mgombea maalum. Nimejiuliza sana hiyo influence kaipata wapi ?Basi sina swali tena. Na huyu ndo mgombea rasmi wa CCM kupitia kawe. Hapa mkakati ulisukwa aisee.
Ndio mana Paul alishindwa kwenda kutangaza nia kawe alijua asingepita kumbe kulikuwa na mtoto wa dadaTwitani wanasema ni mtoto wa Dada sasa sijui dada yupi Halima au Esther Bulaya
Hahaa boss lazima tudhani hivyo,dogo kasuka mipango kimya kimyaNilikuwa nasubiria hii comment.. mtu asipofahamika sana huwa lazima tudhani ni usalama