Uchaguzi 2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

JF ina kila kitu, walisema mapema kuwa ni mtu wa mkubwa fulani. Leo imewekwa bayana na uzi ukafukuliwa ulikokuwa, duh.

Yaani wajumbe wa kawe walikuwa wanajikomba kwa baba kiasi hicho?
Walimpitisha kwa kuwa anavinasaba na mkubwa?

Maajabu hayatakaa yaishe Tz
 
Ndugu yake JIWE, leo kwenye hotuba kumtambulisha GWAJI KWICHI KWICHI KASEMA , ila tunaomba utuambie DOTTO JAMES ni nani hasa?
 

Magufuli: Alieshinda kura za maoni CCM Kawe ni mtoto wa Dada yangu​

 
Gwaji alikosea kuitumia Japn na USA, akadhani Kawe ni malimbukeni wa kwenda majuu, nje ya nchi! !!
pili, alishushwa cheo na mungu wake, kuwa mbunge, sasa kaukosa, anaendelea kushuka zaidi, kule ufufuo hatarudi, mungu wake hamtaki , sijui itakuwaje,

Tatu Alimuombea mabaya Bashite, akidhani yeye yuko sahihi, kumbe maskini hakujua alikuwa ana panda mbegu ya uovu, sasa anavuna alichopanda,

alisahau Mungu ni wa wote! Bora angemuombea Bashite Neema tele! na kumsamehe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…