Uchaguzi 2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

Uchaguzi 2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

Itabidi tuamini hapa JF kwamba hii ndio CV yake muhimu, maana siku mbili sasa, na takribani kurasa 23 na mabandiko zaidi ya 400; hakuna mwenye uthubutu wa kuweka anayekijua kuhusu huyu Furaha. Hii ni sababu tosha kwamba huyu katumwa.
Ndii hivyo mkuu
 
Huyu mwana tumesoma Naye DIT ,kama sikosei alikuwa laboratory science and Technology, alikua akijihusisha na sasa za uongozi chuoni.
 
Niko kwenye site. Nakuhakikishia hakuna namna huyu jamaa angepata hizo kura kwa nguvu zake. Ni maagizo kutoka juu na yamesimamiwa kilivyo. Una habari Makonda alitaka kugombea kupitia hili jimbo lakini akakwama kutokana na nguvu isiyoonekana ya huyu jamaa? Usione vyaelea ndugu vimeundwa. Hizi ni info za ndani nakupa na siyo speculations
Yani wewe ndio unazidi leta Speculation.

Tuanzie hapa...Makonda alitaka kwenda kugombea Kawe halafu akaogopa nguvu zisizoonekana!!???
 
humu JF wapo waliopiga kura na waliopigiwa wanaijua SIRI ya hapo ukumbini na nashagaa hawataki kuchangia
pasco Mayalla alikuwepo Ukumbini na aliona yote na kusikia na inasemekana alipata Kura moja ya John baptist kwa hiyo huyu Yohana Mbatizaji hakumpigia Furaha Mshindi ndiye angetueleza Ukumbi ulichafukaje au ulikuwa salama
Mwenye kisu kikali ndiye Mshindi

Naona wachangiaji wanaukwepa huu ushahidi wako, utadhani hawauoni! Asante sana Ukwaju
 
Unanipoteza mda tu, inaonekana walimu wako shule walikuwa na kazi ya ziada
Maana nilikua nakataa kudanganywa..mfano Mwalimu aliniambia eti Mlima Kilimanjaro uligunduliwa na Mzungu Rebman na Krapft mimi nilikataa kabisa nikamwambia labda aseme kua ni Wazungu wa kwanza kufika pale.
Sasa wewe unasema hutaki Siasa lakini apo apo unajadiri siasa kwenye jukwaa la siasa.
 
Iko wazi kabisa kuna walakini katika mchakato wa jimbo la kuwania Kiti cha ubunge Jimbo la Kawe .. Harufu ya Rushwa imetawala.

Kijana Furaha Dominic Jacob ni mtu asiyejulikana kabisa ndani ya chama ,hii si tija bali tizama pia namna alivyozungumza kwa nyodo ,mbwembwe na dharau lakini yeye ndiye akaja ibuka mshindi.

Tizama pia karatasi yake ya number ya mgombea ina kidoti cheusi kwa juu as a mark kwa ajili ya kuaIdentify kitu.

CCM naamini bado mchakato unaendelea ,hichi kilichotokea Kawe ni aibu kwa chama. Mchezo umekaa vibaya sana.

JISAFISHENI.
 
Maana nilikua nakataa kudanganywa..mfano Mwalimu aliniambia eti Mlima Kilimanjaro uligunduliwa na Mzungu Rebman na Krapft mimi nilikataa kabisa nikamwambia labda aseme kua ni Wazungu wa kwanza kufika pale.
Sasa wewe unasema hutaki Siasa lakini apo apo unajadiri siasa kwenye jukwaa la siasa.
Wapi umeona najadiri siasa.. kueleza kwamba una mfahamu tayari nayo imekuwa siasa ?
 
Wa kyela aliongea kwa kujidai ameshiba tokea bunge la Afrika mashariki , wajumbe wakamdidimizia chini. Pamoja na umaarufu wake wote.
 
Iko wazi kabisa kuna walakini katika mchakato wa jimbo la kuwania Kiti cha ubunge Jimbo la Kawe ..
Harufu ya Rushwa imetawala.

Kijana Furaha Dominic Jacob ni mtu asiyejulikana kabisa ndani ya chama ,hii si tija bali tizama pia namna alivyozungumza kwa nyodo ,mbwembwe na dharau lakini yeye ndiye akaja ibuka mshindi...
Kuna sehemu nimesoma wanasema ni Anko wa mkubwa
 
Furaha katokea wapi?
ana undugu na nani?
Kipi kimeshawishiwa?
Kivipi?
Mkipata majibu ya hapo juu hakuna maswali tena.
 
Iko wazi kabisa kuna walakini katika mchakato wa jimbo la kuwania Kiti cha ubunge Jimbo la Kawe .. Harufu ya Rushwa imetawala.

Kijana Furaha Dominic Jacob ni mtu asiyejulikana kabisa ndani ya chama ,hii si tija bali tizama pia namna alivyozungumza kwa nyodo ,mbwembwe na dharau lakini yeye ndiye akaja ibuka mshindi...
Hpo hajawa mbunge, akiwa Mbunge sijui nyodo zake zitakuwaje?
 
Sijasikia huyu Mluguru kama alienda omba kura za maoni kwao Morogoro, tupo naye kila siku.

Aliyexhemsha ni Katambi Mkuu wa Wilaya kenda jaribu kimebuma, mwenzake Deo Ndejembi Mjukuu wa Mzee Ndejembi (Mkuu wa wilaya ya Kongwa) kafanikiwa Jimbo la Chilonwa na kapeta kwa kumzidi Mbunge aliyeko (Mh Mwaka)

Katika jimbo la Mlimba kulikuwa 39, Godwin Kunambi ameongoza kwa kupata kura 193, na alifungana na Rose Rwakatare aliyepata kura 193.

Pia katika uchaguzi huo Acrey Mhenga alipata kura 124 na Jane Mihanji amepata kura 14.
 
Back
Top Bottom