Uchaguzi 2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

Uchaguzi 2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

Huu mjadala umejaa speculations nyingi sana na mpaka kuchafuana majina. Nadhani tungejitahidi kuiacha process ichukue mkondo wake tu. Siri kubwa sana ya uchaguzi wowote ni kwa mgombea kujiunganisha na wapiga kura wake; hakuna anayejua bwana mdogo alitumia njia gani kujiunganisha na wapiga kura. Ila madai ya kuwa alitumwa na Rais ni mafinyu sana kwani wajumbe walikuwa wanapiga kura freely kwa siri bila kusimamiwa na yeyote yule.
 
Niko kwenye site. Nakuhakikishia hakuna namna huyu jamaa angepata hizo kura kwa nguvu zake. Ni maagizo kutoka juu na yamesimamiwa kilivyo. Una habari Makonda alitaka kugombea kupitia hili jimbo lakini akakwama kutokana na nguvu isiyoonekana ya huyu jamaa? Usione vyaelea ndugu vimeundwa. Hizi ni info za ndani nakupa na siyo speculations
 
Mimi ni mwana mahesabu naona hapa ccm walicheza hesabu zao vibaya wataumia.
 
Gwajiboy kapata ngapi tuanzie hapo
Tunamsubiri akatoe ushuhuda kanisani kwake J2, dadadeq!!
Funzo: Msimchezee kabisa bwana Mungu wa majeshi, Mungu wa Yakob na Ibrahim na Isaka si wa mchezo mchezo lazima utoke hoi choka mbaya dembedembe....UMEKATALIWA.

Tena tunaomba CCM wamrudishe hapo hapo KAWE ili uchaguzi mkuu apate 4 kama za wenzake.
 
Niko kwenye site. Nakuhakikishia hakuna namna huyu jamaa angepata hizo kura kwa nguvu zake. Ni maagizo kutoka juu na yamesimamiwa kilivyo. Una habari Makonda alitaka kugombea kupitia hili jimbo lakini akakwama kutokana na nguvu ya huyu jamaa? Usione vyaelea ndugu vimeundwa.
kwa hiyo wapiga kuwa wote walikuwa wanasimamiwa kuhakikisha wanampigia yeye? Imekuwaje Gwajima naye kachota kura sabini kama walikuwa wameimamiwa kuhakikisha wanapigia yeye.
 
halafu huyu Bint wa Lowassa kaja ni mihemuko
huyu dogo kafanana sana na Katambi aliyeanguka na ukuu wa Wilaya ya Dodoma akauachia
tukirudi kwenye Mada Kawe anayepaweza ni Mama Kizigha mshindi wa pili kura 85 ndipo atampunguza kasi au kumuangusha Halima Mdee, huyu Mama hata 2015 aligombea
Gwajima ataanguka chali kwani wasio Dini yake au dhehebu lake hawatakipigia CCM kura

Hivi mkuu vipi Dodoma huko???
Nasikia DED Kunambi alienda kugombea kwao jimbo moja Morogoro huko kaangukia pua

Na mamlaka mbona haikutengua Paukwa pakawa?
 
Chato zamani ilikuwa wilaya ya Bihalamuro,mkoa wa Kagera. Wewe ndo huna unalolijua.
ni kweli sijui lolote ndio maana nikasema CV kaandikiwa ni walewale wanaosema Kyaka ipo Uganda

Graduate wa DIT hajui Mkoa wa Geita anaandika Kagera
ni kweli Biharamulo wanapaita Bihalamulo
huyu Kijana mpeni tu hiyo Kawe muusikie muziki wake
 
Wewe tunamfahamu huyu ni mpwa mwìngine wa jiwe
Hata akifichwa vp tunamfahamu ni mtoto wa dada wa yesu wa Chato

Maelekezo from above full
Halima beware mpwa huyo
 
Hivi mkuu vipi Dodoma huko???
Nasikia DED Kunambi alienda kugombea kwao jimbo moja Morogoro huko kaangukia pua
Na mamlaka mbona haikutengua Paukwa pakawa?
Sijasikia huyu Mluguru kama alienda omba kura za maoni kwao Morogoro, tupo naye kila siku.

Aliyexhemsha ni Katambi Mkuu wa Wilaya kenda jaribu kimebuma, mwenzake Deo Ndejembi Mjukuu wa Mzee Ndejembi (Mkuu wa wilaya ya Kongwa) kafanikiwa Jimbo la Chilonwa na kapeta kwa kumzidi Mbunge aliyeko (Mh Mwaka)
 
Hatashinda Amina atapita huyu kijana. KUMBUKA wapiga Kura wengi ni vijana na wamama. Watampigia Kura huyu kaka
Kama vigezo ni 'ujana' na 'umama' - Halima sio mzee, na Halima ni mama!

Hebu fafanua.
 
Huu mjadala umejaa speculations nyingi sana na mpaka kuchafuana majina. Nadhani tungejitahidi kuiacha process ichukue mkondo wake tu. Siri kubwa sana ya uchaguzi wowote ni kwa mgombea kujiunganisha na wapiga kura wake; hakuna anayejua bwana mdogo alitumia njia gani kujiunganisha na wapiga kura. Ila madai ya kuwa alitumwa na Rais ni mafinyu sana kwani wajumbe walikuwa wanapiga kura freely kwa siri bila kusimamiwa na yeyote yule.
humu JF wapo waliopiga kura na waliopigiwa wanaijua SIRI ya hapo ukumbini na nashagaa hawataki kuchangia
pasco Mayalla alikuwepo Ukumbini na aliona yote na kusikia na inasemekana alipata Kura moja ya John baptist kwa hiyo huyu Yohana Mbatizaji hakumpigia Furaha Mshindi ndiye angetueleza Ukumbi ulichafukaje au ulikuwa salama
Mwenye kisu kikali ndiye Mshindi
 
Wachaa weee Ras Simba, hadi umeamua ku Google kuonesha jinsi dawa ilivyokuingia.

Hata hivyo kwa style hii utapata tabu sana kwenye hili jukwaa. TAKE IT EASY BRO, NOTHING PERSONAL
Ni sehemu ya kuelimishana pia, elimu haina mwisho mkuu.
 
Dogo katjmwa na uncle wake huyo ukitegemea nani ampinge uncle?
Itabidi tuamini hapa JF kwamba hii ndio CV yake muhimu, maana siku mbili sasa, na takribani kurasa 23 na mabandiko zaidi ya 400; hakuna mwenye uthubutu wa kuweka anayekijua kuhusu huyu Furaha. Hii ni sababu tosha kwamba huyu katumwa.
 
kwa hiyo wapiga kuwa wote walikuwa wanasimamiwa kuhakikisha wanampigia yeye? Imekuwaje Gwajima naye kachota kura sabini kama walikuwa wameimamiwa kuhakikisha wanapigia yeye.
Siyo wote. Walienda kwa mahesabu. Vikao vilifanyika kabla ya upigaji kura. Wajumbe wengi walipewa fedha na mahesabu kupangwa.
 
Huu mjadala umejaa speculations nyingi sana na mpaka kuchafuana majina. Nadhani tungejitahidi kuiacha process ichukue mkondo wake tu. Siri kubwa sana ya uchaguzi wowote ni kwa mgombea kujiunganisha na wapiga kura wake; hakuna anayejua bwana mdogo alitumia njia gani kujiunganisha na wapiga kura. Ila madai ya kuwa alitumwa na Rais ni mafinyu sana kwani wajumbe walikuwa wanapiga kura freely kwa siri bila kusimamiwa na yeyote yule.
Natamani ungekuwepo ukumbini umsikie kile alichokisema baada ya kupewa nafasi kuwaomba wajumbe wa mkutano ule. Aliongea maneno machache yenye kuwakumbusha wajumbe walichotumwa wakitekeleze.
 
Siyo wote. Walienda kwa mahesabu. Vikao vilifanyika kabla ya upigaji kura. Wajumbe wengi walipewa fedha na mahesabu kupangwa.
hapo kuna mambo mawili; kuna rushwa, na kuna outreach ya kampeini. Mgombea kukutana na wapiga kura mmoja mmoja wakati wa kampeini siyo tatizo, ila lile la kuwagawia hela ni rushwa na kama kuna ushahidi basi sheria ichukue mkondo wake.
 
Back
Top Bottom