Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Huu mjadala umejaa speculations nyingi sana na mpaka kuchafuana majina. Nadhani tungejitahidi kuiacha process ichukue mkondo wake tu. Siri kubwa sana ya uchaguzi wowote ni kwa mgombea kujiunganisha na wapiga kura wake; hakuna anayejua bwana mdogo alitumia njia gani kujiunganisha na wapiga kura. Ila madai ya kuwa alitumwa na Rais ni mafinyu sana kwani wajumbe walikuwa wanapiga kura freely kwa siri bila kusimamiwa na yeyote yule.