Nahman
JF-Expert Member
- Oct 4, 2023
- 599
- 1,749
Natumaini ni wazima ndugu zangu
Asante mungu kwa zawadi hi kubwa ya kihistoria kwenye maisha yangu
Kwa hakika mungu akubaliki wewe mwanamke uliebeba viumbe hivi tumboni kwako.
Hadi sasa natafakari zawadi ya kukupa nakosa.
Ulinipigia na kuniambia, Nahman unaendeleaje na kazi. Hongera tumepata mapacha wakike🤓
Sijui niwaite majina gani..
Maisha yananiweka mbali nao kwa leo kwa hakika ningeshinda nikiwatazama nisisikie njaa
Ndugu zangu naomba tuungane kumuombea na kumpongeza baby mama.
African beaty aliefanya nkaitwa baba!
Hey queen E
Thank you❤️