DR Mambo Jambo The chance of getting twins are very
“slim or no chance at all” for those lineage that they dont have twins at all?
Madaktari na waliosoma biology mtusaidie.
Mkuu Hongera sana.
Kwanza Nampa Hongera Sana Mkuu kwa Kuongeza Familia
Ni kweli Kabisa Ila Sio kweli kwa 100%
According to epidemiology and Biostatics..
genetic Inacontribute Only to Occurence of Fraternal Twins Na mara Nyingi ni Kwa Upande wa Maternal na sio Partenal..
Ngoja nishuke Nondo za Epidemiology na Biostatistics..
Kwenye
Fraternal Twins likelihood ya Kupata fraternal twins (au dizygotic) huwa inaweza Kusababishwa au kuwa Inflenced na Genetic au Lineage kama ulivyosema .
Yaani kama mwanamke akitokea Katika Familia ya Wanaozaa Mapacha na Mara Nyingi chance yake ya kuzaa.Mapacha huwa iko juu sana kuliko ambaye hana Lineage japo inaweza kutkea Asiye na Lineage naya akazaa Japo chance yake sip kubwa sana...
Unajua kwanini??
Kuna kitu Kinaitwa hyperovulation (Kutoa Yai zaidi ya Moja kwa ajili ya Kuwa Fertilized)..
Sasa Hii Tabia "hyperovulation" ndo hurithishwa kwa Wanawake waliozaliwa kwenye Familia ya Mapacha na pale unapopachika Mbegu unajikuta Unachavusha Mayai mawili kwa wakati mmoja..
Kwa mapacha wa Kufanana "
Identical Twins" hawa hutokea mfuko mmoja "monozygotic" ..
Na hii ndo ukisikia watu wanasema Majariwa ya Mungu ni haya maana Haihitaji Genetic Predisposition Mbegu Mbili Zifertilize Yai Moja au Yai moja baada ya Kuwa Fertilised lijigawe mara mbili...(ahuu ni Muujiza tu)
Kuna hii nakupa chukua Ethinicity pia Huchangia Kupata Mapacha waarabu na wahindi Ni Vigumu sana Kupata Mapacha Kuliko Waafrika..
Nakuongeza na Hii wanawake wenye Umri wa Miaka 30 na zaidi Wako kwenye Higher Rate ya Kupata mapacha kuliko walio chini ya Hapo unajua kwanini kwa sababu Wanawake wengi Kuanzia Miaka 30 Huanza kutoa mayai Mawili kila mwezi badala ya Moja..
Nawasilisha Mkuu