Furaha ilioje, leo mimi ni baba wa mapacha!

Hongera
 
Kapime DNA utakuja kunishukuru
 
Naomba nikushauri kitu ambacho Watu wote waliochangia Maoni kwenye huu Uzi wako hawajakigusia Wala hakipo kabisa akilini mwao: -
ILI KUJIHAKIKISHIA UNA FURAHA YA KWELI ENDELEVU, YA KUDUMU NA YA UHAKIKA, WAPIME DNA HAO MAPACHA WOTE ILI UJIRIDHISHE KWAMBA KWELI WEWE NI BABA MZAZI WA WATOTO HAO.
Kiwango Cha Huzuni utakayopata hapo baadaye miaka kadhaa ijayo siku utakapokuja kugundua kwamba wewe ni baba mlezi na wala haukuwa baba mzazi kitalingana sawa na kiwango cha furaha ulichonacho hivi sasa.
 
Mpaka leo dully Sykes anamiaka 40 na ushee anaweka brich, hataki kuoa (team kataa ndoa) 😊😊

Leo mchana niliangalia interview yake vijana wengi currently hawapendi kujipa majukumu ya ndoa kwa maneno yao ndoa Ni kukosa furaha

NB.
Hakuna furaha kubwa maishani Kama kuzaa na mwanamke ama mwanaume wa ndoto zako
 
USISAHAU KUPIMA DNA NDO UJE UTUTAMBIE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…