sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Katika hali ya kawaida haya mazingira hakunaHuwaga najiuliza sana, lets say wazazi wawili walitengana, sasa imefika kipindi mtoto yupo na miaka mitatu hivi analilia baba kila siku, baba akatoa sharti kwa kusema au kimafumbo kwamba ili kufanya hivyo inabidi awe anapewa penzi walau kwa lisaa, Mwanamke anaweza kuchomoa hapa ?
Na hapo unakuta ni kweli wazazi waliachana kwa fujo ila mwaname anaanza kuona udhaifu wa mzazi wake ni mtoto kupata furaha ya kumuona baba yake, kwa maksudi kabisa mwanaume anaanza kutumia hii hali kuomba penzi, akikataliwa anaanza kusema kasafiri au kachoka ila akiahidiwa penzi anaonana na mtoto bila tatizo.
hiyo ya 3 khaaa heheheNasisitiza: Hakikisha umeona yafuatayo Kwa Single mother;
1. Kaburi la mzazi mwenzie,
2. Death Certificate (jina lifanane na kwenye kaburi),
3. Video siku ya mazishi.
🤣Nasisitiza: Hakikisha umeona yafuatayo Kwa Single mother;
1. Kaburi la mzazi mwenzie,
2. Death Certificate (jina lifanane na kwenye kaburi),
3. Video siku ya mazishi.
Watu wa huduma ya Lamination tafadhariNasisitiza: Hakikisha umeona yafuatayo Kwa Single mother;
1. Kaburi la mzazi mwenzie,
2. Death Certificate (jina lifanane na kwenye kaburi),
3. Video siku ya mazishi.