Furaha yatawala Iran kuwashambulia Israel, tutegemee shinikizo kwa Israel kusitisha vita kipigo kikikolea?

Mkuu kijiografia Iran iko mbali sana! Uwezekano wa Israel kupenya anga yake kirahisi kama inavyofanya Gaza ni mdogo.
Pili bila washirika UK na US kutia mguu Israel pekee yake haiwezi.
Kwa nini mnapenda kujidanganya hivi? Kwa nini imani inakufanya uwe mjinga ubishane na uhalisia? Siku mbili zijazo ni nyie mtakuja hapa na slogan za "pray for iran"
 
Mkuu sidhani kama utakuwa sawa maana base kubwa ya jeshi la anga la Israel imeharibiwa baada ya kupigwa na makombora zaidi ya 15.
 
Mkuu sidhani kama utakuwa sawa maana base kubwa ya jeshi la anga la Israel imeharibiwa baada ya kupigwa na makombora zaidi ya 15.
Tuwekee ushahidi wa hii habari
 
Mkuu sidhani kama utakuwa sawa maana base kubwa ya jeshi la anga la Israel imeharibiwa baada ya kupigwa na makombora zaidi ya 15.
No no mkuu wewe unafuatilia hizi news kutoka source gani?,even Aljazeera ambao ni pro Iran hawaliongelei hili,all ballistic na drones zimekua destroyed far away kutoka Israel air space,but bottom line I hate war ,sipendi maana ni wanawake na watoto wanaoumizwa zaidi wakati waanzilishi wa vita wanakunywa coffee ☕️
 
Israel yenyewe kupitia msemaji wake amesema baadhi ya makombora yamepenya na kuipiga kambi yake na kuharibu miundo mbinu yake.
Alafu video zipo nyingi zinazo onesha makombora yakitua kwenye kituo hicho.
 
Attachments

  • Screenshot_20240414-074205.png
    149.7 KB · Views: 2
Israel yenyewe kupitia msemaji wake amesema baadhi ya makombora yamepenya na kuipiga kambi yake na kuharibu miundo mbinu yake.
Alafu video zipo nyingi zinazo onesha makombora yakitua kwenye kituo hicho.
We have the right to disagree mkuu
 
Tatizo ni kumjibu mtu ambae atakushinda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…