Furaha yatawala Iran kuwashambulia Israel, tutegemee shinikizo kwa Israel kusitisha vita kipigo kikikolea?

Furaha yatawala Iran kuwashambulia Israel, tutegemee shinikizo kwa Israel kusitisha vita kipigo kikikolea?

Mkuu kijiografia Iran iko mbali sana! Uwezekano wa Israel kupenya anga yake kirahisi kama inavyofanya Gaza ni mdogo.
Pili bila washirika UK na US kutia mguu Israel pekee yake haiwezi.
Kwa nini mnapenda kujidanganya hivi? Kwa nini imani inakufanya uwe mjinga ubishane na uhalisia? Siku mbili zijazo ni nyie mtakuja hapa na slogan za "pray for iran"
 
Mtoa hoja ukweli ndio muhimu,drones na ballistic kutoka Iran hakuna iliyopiga hata target moja ndani ya Israel,drones hizi zote zimepigwa nje ya anga la Israel always ukweli utamalaki ILA vita sio kitu cha kufurahia na kukipa ushabiki ,mpaka wetu na Mozambique sio salama ,binafsi nimefurahia kwa jeshi letu ku hold line ya mpaka wetu,sio kupeleka wapiganaji wetu ndani ya Mozambique,operation safisha ilitu cost sana,wameamua kupigana tuachane nao
Mkuu sidhani kama utakuwa sawa maana base kubwa ya jeshi la anga la Israel imeharibiwa baada ya kupigwa na makombora zaidi ya 15.
 
Mkuu sidhani kama utakuwa sawa maana base kubwa ya jeshi la anga la Israel imeharibiwa baada ya kupigwa na makombora zaidi ya 15.
No no mkuu wewe unafuatilia hizi news kutoka source gani?,even Aljazeera ambao ni pro Iran hawaliongelei hili,all ballistic na drones zimekua destroyed far away kutoka Israel air space,but bottom line I hate war ,sipendi maana ni wanawake na watoto wanaoumizwa zaidi wakati waanzilishi wa vita wanakunywa coffee ☕️
 
Israel yenyewe kupitia msemaji wake amesema baadhi ya makombora yamepenya na kuipiga kambi yake na kuharibu miundo mbinu yake.
Alafu video zipo nyingi zinazo onesha makombora yakitua kwenye kituo hicho.
 
Attachments

  • Screenshot_20240414-074205.png
    Screenshot_20240414-074205.png
    149.7 KB · Views: 2
Israel yenyewe kupitia msemaji wake amesema baadhi ya makombora yamepenya na kuipiga kambi yake na kuharibu miundo mbinu yake.
Alafu video zipo nyingi zinazo onesha makombora yakitua kwenye kituo hicho.
We have the right to disagree mkuu
 
Atajibiwa na Usa na British,... Israel hawezi hata kupigana na Al shabab.

Dunia haiwezi kuwa salama milele kama kila mtu akitaka kuonyesha umwamba ,Iran kalipiza sio mchokozi...Utakuja kutuwa kidole utakaaa kimya mwisho wa siku utakuwa gasho kabisa.

Marekani waliua kiongozi wa Iran jamaa wakalipiza .

Dunia ukiwa mnyonge kwisha .
Tatizo ni kumjibu mtu ambae atakushinda tu
 
Back
Top Bottom