ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,337
- 7,593
Kwa nini mnapenda kujidanganya hivi? Kwa nini imani inakufanya uwe mjinga ubishane na uhalisia? Siku mbili zijazo ni nyie mtakuja hapa na slogan za "pray for iran"Mkuu kijiografia Iran iko mbali sana! Uwezekano wa Israel kupenya anga yake kirahisi kama inavyofanya Gaza ni mdogo.
Pili bila washirika UK na US kutia mguu Israel pekee yake haiwezi.