Mabwe pande hapanitishi watu tumeishi misitu ya kongo hebu waite hao waone mziki wake,mtoto yupo under my control now
Akuache mwambie raha unazopata huku umetulia tuliiii
nimeshaachana naye tatizo penda penda sana asionne skirt imekatiza mbele yake..............
sasa hivi niko na Daudi1 wangu tunakula raha
Hahahahaha pole sana mkuuyou dare speak with all your fingers up?
are you a taarabian?
Hahahaaha mimi siko kwenye kundi lenu hilo hebu mtaje hapa bila kumung'unya manenoUmeacha ubazazi Siku hizi? Umemuacha Yule Fulani? Au nimtaje jina hapa Angelicious amfahamu?
Hahahahaha sasa hebu njoeni tuone kati wanakoishi sokwe na huko mnakosema wanapotelea watu ila angalia msije mkawa miongoni mwa watakaopotelea huko so mjipangeMisitu ya Congo iko na sifa za kuishi sokwe tu! Ila MABWEPANDE Ina sifa ya Watu kupotea!
Km unataka kupotea sema tu!
Hahahaaha mimi siko kwenye kundi lenu hilo hebu mtaje hapa bila kumung'unya maneno
Umesharuhusiwa kumuita aje aseme hapaAaah Aaah Aaah! We sema tu km unabisha Kua Wewe sio Bazazi nimtaje jina hapa! Au nimuite aje hapa aone unavyomdanganya Angelicious
Hahahahaha sasa hebu njoeni tuone kati wanakoishi sokwe na huko mnakosema wanapotelea watu ila angalia msije mkawa miongoni mwa watakaopotelea huko so mjipange
Naona haujiamini hiyo inaonyesha ni jinsi gani huna unalolijuaUnasema? Atii?
Haya nawasubiri hapaNgoja nimwambie KING Excel aagize wanausalama wake wakushughulikie! Lkn Yule Fulani na Angelicious wasije kulia hapa wakikukosa!
Ngoja nimwambie KING Excel aagize wanausalama wake wakushughulikie! Lkn Yule Fulani na Angelicious wasije kulia hapa wakikukosa!
Hahahahaha pole sana mkuu
Mkuu hata sielewi hebu muulize Ntuzu atakuambia
Hamna kinachoendelea kwani vip mkuumkuu nini kinaendelea humu?
Hamna kinachoendelea kwani vip mkuu
Complain gani mkuu mbona hapa pako shwari tuplease tell me the truth.. somebody may have hacked my account.. nimekutana na complaints nyingi sana mpaka sasa..
Hamna kinachoendelea kwani vip mkuu