Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Mabwe pande hapanitishi watu tumeishi misitu ya kongo hebu waite hao waone mziki wake,mtoto yupo under my control now
Misitu ya Congo iko na sifa za kuishi sokwe tu! Ila MABWEPANDE Ina sifa ya Watu kupotea!
Km unataka kupotea sema tu!