Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
swali juu ya swali jirani
jirani nambie, manake tunadukuana sana siku hizi.. haujamboo lakini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
swali juu ya swali jirani
jirani nambie, manake tunadukuana sana siku hizi.. haujamboo lakini?
Sijambo jirani....
wife anaamka saa ngpi ili tudukuane vizuri
Heaven on Earth tulishaachana na huyo bwana mtu penda penda kama ninina Angelicious ratiba ikoje
Heaven on Earth tulishaachana na huyo bwana mtu penda penda kama nini
aisee kapewa douz ya ukwee!! mwache ajipumzikie aisee!! huu mziki mwingine!
hiyo dozi kutwa mara ngapi!!!!!!!
Heaven on Earth tulishaachana na huyo bwana mtu penda penda kama nini
shida ilikuwa nini Excel
unaweza kuthibitisha kwa Heaven on Earth kwamba hilo ndo lilikuwa tatizo?
Ndio mtu ndo mapenzi bado machanga tayari ushamuitroduce missneddy kuwa ndo mpenzio tena mbele yangu, sasa huko si kupenda penda?
dharau. sipendi dharau actually... Angelicious nilimpenda kuliko wanawake wote, hata wewe Heaven on Earth!
cha ajabu one day kantolea msonyo ambao, dah! it pained, halafu kakakimbia!! ujue nilikaangaliaaaa, nikakaacha kabisa kabisa!![/QUOT
Ndo kutaka kusema hiyo ndo sababu kuniacha na kumfuata miss neddy? We sema ulikuwa na yako usisingizie nitakusonya tena

kwa hio unataka kusema bado unanipenda????????????????????????
basi basi jamani x wangu.. tafadhali msije mkapigan eeh, sawa mama? bakini marafiki wakubwa tu! umenielewa eenh?
Siwezi kugombana naye huyo miye swahiba wangu