Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Kabisa mkuu ila kuna wale wanaleft group ndo wananipa maswali.Ninavyojuwa akuna mwanamme anayejuta kuwa mwanamme pamoja na changamoto anazopitia.
AyaUtafil... mkuu proud na jinsia yako acha uchoko
Achana naoKabisa mkuu ila kuna wale wanaleft group ndo wananipa maswali.
Ww unapenda kubishana tatizo, nimekwambia mwanaume na mapenzi kwangu ni chaguo la mwisho. Sababu najua muda wowote yanapatikana ila sio PESA na vitu vingine ambavyo vikiondoka kuvipata kazi.!!Sababu bado kipo akilini mwako