Furahia kuwa mwanaume

Furahia kuwa mwanaume

Ndio maana natamani Sana Mwenyezi Mungu anijalie first born wa kiume nimfundishe haya mateso mnayoyaita furaha mapema Sana!!! Ila tukiacha utani natoa shout out! Kwa wanaume wote wanaotambua nafasi zao na majukumu kwa ujumla
 
Sababu bado kipo akilini mwako
Ww unapenda kubishana tatizo, nimekwambia mwanaume na mapenzi kwangu ni chaguo la mwisho. Sababu najua muda wowote yanapatikana ila sio PESA na vitu vingine ambavyo vikiondoka kuvipata kazi.!!
 
Back
Top Bottom