Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
olewa sasa hayo hutakua nayo utakua happy na bwana ako aliyekuoaHoja yako haithibishi kuwa hii ni furaha ya mwanaume bali furaha ya ku-achieve kitu ambacho ngumu kukifikia ukikifikia unafurahi.
Thing to be happy haitaji makandokando chenille kinabalu kite straight Happyness kama mfano kufanya mapenzi, kula chakula kitamu, kuangalia football kwa wapenzi wa football nk
Ila furaha sio majukumu ya kuhuduamia watu kwenye uchumi ambao haupo sure kabisa at any time T unakuwa jobless, watu wanagongewa hawawezi hudumia, wanachelewa kuoa hawana maisha, huna hela huna maana kwa mke....HOW COME YOU CALL IT HAPPYNESS.
Ukweli haya ni majukumu na tuponayo by nature isiwe sababu ya ku pretend kindezi.
Mbona simple😂😂