Furahia kuwa mwanaume

Furahia kuwa mwanaume

Mbona km hii furaha ni ya kulazimisha na sio halisia? Nweiiii nini kumekupata mkuu?
Poleeee sanaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu RAHA sana ninapo ingiza Dudu kwenye K alafu bado nakubebesha mtoto wangu yaani unitunzie kwenye tumbo lako.😂 Na Sisi ndio WANAUME
 
Huyo ex anayekulilia hajielewi naye, mwambie aache ujinga.!! Hana kazi za kufanya?? Mwambie aje kunisaidia kuvuna huku.
Wacha hasira wewe ex wa mtu.

Wewe ni pisi kali ujue lamama
 
Ninavyojuwa akuna mwanamme anayejuta kuwa mwanamme pamoja na changamoto anazopitia.
 
Ila ni lazima mtambue kuwa kwa sasa mwanaume yupo katika shambulio ambalo halijawahi kutokea katika historia ya Dunia.. Mwanaume anashambuliwa kiroho na kimwili..

SiSI kama wanaume ni lazima tuwe makini sana katika malezi ya watoto wetu wa kiume ili kuokoa jinsia yetu..
 
Mimi mwanaume na siwezi kujivunia hayo mateso na shida, na ku-pretend kuwa eti ndio furaha kwa mwanaume Never.

Na ningekuwa na option ya kuziondoa ningeziondoa tu kwangu na nikabaki mwanaume vilevile.
Utafil... mkuu proud na jinsia yako acha uchoko
 
Back
Top Bottom