Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
ngoja nianze drama 😂. Ila tuiache thread ya ladyfurahia ainjoi birthday space ☺Leo nimeamini wewe na Ivan Stepanov ni tofauti
Angekua yeye angeona hasingeniwish angejua tu ni chai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ngoja nianze drama 😂. Ila tuiache thread ya ladyfurahia ainjoi birthday space ☺Leo nimeamini wewe na Ivan Stepanov ni tofauti
Angekua yeye angeona hasingeniwish angejua tu ni chai
Hongereni sana Taurus wenzangu pamoja na ladyfurahiaTumezaliwa siku moja, mimi nilizaliwa jumapili tarehe kama ya leo miaka mingi iliyopita. Happy birthday to us
Si unajua tena kaka mimi old school, hayo mambo nilishakubal tu kuwa yamenishinda siyawezi😅Leo nimeamini wewe na Ivan Stepanov ni tofauti
Angekua yeye angeona hasingeniwish angejua tu ni chai
HEBU SASA ILETE LEO MAANA ISHAPITAngoja nianze drama 😂. Ila tuiache thread ya ladyfurahia ainjoi birthday space ☺
HEEEEEE MAKUBWA SANA DUUUUUUUkubali nikuoe sasa, muda unayoyoma.
asante bestito nimekukumba kweli upogo kweli
HEEEEEE MAKUBWA SANA DUUUUUU
una id mbili hongera mkuuNicheck pm, tuanze kuyajenga.
Ninazo 4 mahabuba, sogea basi PM, nikuume sikio.una id mbili hongera mkuu