uyui kwetu
JF-Expert Member
- Oct 23, 2013
- 1,214
- 783
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi mimi nmeona pikipiki nyingi zmeandikwa M_Gas nikasema huyu mgasi ni taita gani anatoa pikipiki za mkataba nyingi ivi?
Unalala njaaBora tukomae tu kwenye mihani,oryx n.k ambazo zinapatikana kwa wingi.yaani gesi iishe nisubili uniletee ?.Na ikitokea wewe unawateja wengi au dharura yeyote mimi siku hiyo nitafanyaje?
Andika jina lake vizuri bhanaaaWapi androni nicodemus mendes kopa gas inalalamikiwa baba
CoxAndika jina lake vizuri bhanaaa
Sanahuduma safi sana hii
Hao ni wasambazaji wetu boss.Basi mimi nmeona pikipiki nyingi zmeandikwa M_Gas nikasema huyu mgasi ni taita gani anatoa pikipiki za mkataba nyingi ivi?
karibu Kenya Nzima wanatumia hii.Hii ipo kama miaka miwili hivi na naona mtaani huko uswahilini wengi wanatumia hii.
Soma hapa,Inafanyaje kazi...
... mwanzoni nilidhani gesi ikiisha unalipia na kupata huduma kama ilivyo LUKU; kumbe hadi usubiri uletewe! Hilo ni tatizo na customer service za kibongo zilivyo za kindezi unapigia jitu ambalo ni wajibu wake litoe huduma halipokea simu au haipatikani kabisa.Bora tukomae tu kwenye mihani,oryx n.k ambazo zinapatikana kwa wingi.yaani gesi iishe nisubili uniletee ?.Na ikitokea wewe unawateja wengi au dharura yeyote mimi siku hiyo nitafanyaje?