macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Ndugu yangu wee, sema wewe kiazi, mimi mhogo nitaitwa nina mizizi. Watu wanashangilia badala ya kusikitika? Kweli nchi yetu asilimia 90 ya wananchi ni zaidi ya wale wanyama nyumbu!Katiba yetu kwenye ibara ya nne ipo wazi kwa kugawa madaraka kwenye mihimili mitatu. Na hii yote ni kuhakikisha kuwa mtu mmoja kuwa kiongozi wa mhimili mmoja na kisha kuwa na madaraka ya kuamua lolote anavyotaka kwa udikteta.
Ndio maana kuna Executive, Bunge na mahakama. Sasa kama mkuu wa serikali kuu atakuwa na madaraka na mamlaka kiasi cha mhimili mingine haiwezi kuhoji anachofanya basi tunakwenda pabaya sana. Mtakuja kukumbuka baada ya kulia.
Separation gani ya power unayozungumzia ambapo katibu wa bunge ambaye ndiye mtendaji mkuu wa bunge anateuliwa na Rais?!Katiba yetu kwenye ibara ya nne ipo wazi kwa kugawa madaraka kwenye mihimili mitatu. Na hii yote ni kuhakikisha kuwa mtu mmoja kuwa kiongozi wa mhimili mmoja na kisha kuwa na madaraka ya kuamua lolote anavyotaka kwa udikteta.
Ndio maana kuna Executive, Bunge na mahakama. Sasa kama mkuu wa serikali kuu atakuwa na madaraka na mamlaka kiasi cha mhimili mingine haiwezi kuhoji anachofanya basi tunakwenda pabaya sana. Mtakuja kukumbuka baada ya kulia.
Kuna viongozi wa dini tayari walishaingizwa kwenye hilo kundi hivyo usitegemee wajitokeze kusema tofautiUnafiki ni hulka ya wengi huko
Wanamfanya mtu ajinadi kama kiranja wa malaika na wakuu wa dini zote nao ni wanafiki wakubwa pia
Unamuogopa binadamu badala ya Mungu
Yaani hao watu wanatia kichefuchefu
Genge nalo limekufa
Naliona sukuma gang linazidi kukatika miziziAtake asitake tutamuongozea muda[emoji38]
Kuna viongozi wa dini tayari walishaingizwa kwenye hilo kundi hivyo usitegemee wajitokeze kusema tofauti
Separation gani ya power unayozungumzia ambapo katibu wa bunge ambaye ndiye mtendaji mkuu wa bunge anateuliwa na Rais?!
Nadhani moto wa katiba utapamba moto kwa sasa. Siyo CCM wala upinzani. Kwa ufupi Ndugai ile barua hajaandaa ila kasainishwa kwa lazima! Ni muhimu kuwa na katiba mpya maana Ndugai pamoja na udhaifu wake wa kutumiwa na ikulu kukandamiza wenzake ila hoja yake ilikuwa ya msingiKatiba yetu kwenye ibara ya nne ipo wazi kwa kugawa madaraka kwenye mihimili mitatu. Na hii yote ni kuhakikisha kuwa mtu mmoja kuwa kiongozi wa mhimili mmoja na kisha kuwa na madaraka ya kuamua lolote anavyotaka kwa udikteta.
Ndio maana kuna Executive, Bunge na mahakama. Sasa kama mkuu wa serikali kuu atakuwa na madaraka na mamlaka kiasi cha mhimili mingine haiwezi kuhoji anachofanya basi tunakwenda pabaya sana. Mtakuja kukumbuka baada ya kulia.
Amebanwa kwenye kona mbaya na pumzi imekata ndio maana akili zimerudi.Chato leo kuna mvua?
Mbona hukuongea haya kipindi cha Mwendazake?