Furahieni, shangilieni lakini mtambue Tanzania hakuna separation of Powers na mtu mmoja anaweza kuikanyaga katiba anavyotaka kwa manufaa yake.

Katiba yetu kwenye ibara ya nne ipo wazi kwa kugawa madaraka kwenye mihimili mitatu. Na hii yote ni kuhakikisha kuwa mtu mmoja kuwa kiongozi wa mhimili mmoja na kisha kuwa na madaraka ya kuamua lolote anavyotaka kwa udikteta.

Ndio maana kuna Executive, Bunge na mahakama. Sasa kama mkuu wa serikali kuu atakuwa na madaraka na mamlaka kiasi cha mhimili mingine haiwezi kuhoji anachofanya basi tunakwenda pabaya sana. Mtakuja kukumbuka baada ya kulia.
Ndugu yangu wee, sema wewe kiazi, mimi mhogo nitaitwa nina mizizi. Watu wanashangilia badala ya kusikitika? Kweli nchi yetu asilimia 90 ya wananchi ni zaidi ya wale wanyama nyumbu!
 
Katiba yetu kwenye ibara ya nne ipo wazi kwa kugawa madaraka kwenye mihimili mitatu. Na hii yote ni kuhakikisha kuwa mtu mmoja kuwa kiongozi wa mhimili mmoja na kisha kuwa na madaraka ya kuamua lolote anavyotaka kwa udikteta.

Ndio maana kuna Executive, Bunge na mahakama. Sasa kama mkuu wa serikali kuu atakuwa na madaraka na mamlaka kiasi cha mhimili mingine haiwezi kuhoji anachofanya basi tunakwenda pabaya sana. Mtakuja kukumbuka baada ya kulia.
Separation gani ya power unayozungumzia ambapo katibu wa bunge ambaye ndiye mtendaji mkuu wa bunge anateuliwa na Rais?!
 
Unafiki ni hulka ya wengi huko
Wanamfanya mtu ajinadi kama kiranja wa malaika na wakuu wa dini zote nao ni wanafiki wakubwa pia

Unamuogopa binadamu badala ya Mungu
Yaani hao watu wanatia kichefuchefu
Genge nalo limekufa
Kuna viongozi wa dini tayari walishaingizwa kwenye hilo kundi hivyo usitegemee wajitokeze kusema tofauti
 
Separation gani ya power unayozungumzia ambapo katibu wa bunge ambaye ndiye mtendaji mkuu wa bunge anateuliwa na Rais?!

Kula tano Mkuu, Kila siku nasikia sijui separation of power eti bunge nalo ni Muhimili unaojitegemea. Nilipokuja kugundua kuwa katibu wa bunge ndiye anayeamua bunge liendeshwe vipi nililidharau sana. Hata huko mahakamani DPP ndio mwenye maamuzi na kesi na sio jaji mkuu.

Tunaposema tuna katiba mbovu akina Ndugai na magenge yao ya ccm walikuwa hawaamini. Sasa wamejua kwa uhalisia wake. Huu Mnyukano unatoa somo kwa vitendo.
 
Katiba yetu kwenye ibara ya nne ipo wazi kwa kugawa madaraka kwenye mihimili mitatu. Na hii yote ni kuhakikisha kuwa mtu mmoja kuwa kiongozi wa mhimili mmoja na kisha kuwa na madaraka ya kuamua lolote anavyotaka kwa udikteta.

Ndio maana kuna Executive, Bunge na mahakama. Sasa kama mkuu wa serikali kuu atakuwa na madaraka na mamlaka kiasi cha mhimili mingine haiwezi kuhoji anachofanya basi tunakwenda pabaya sana. Mtakuja kukumbuka baada ya kulia.
Nadhani moto wa katiba utapamba moto kwa sasa. Siyo CCM wala upinzani. Kwa ufupi Ndugai ile barua hajaandaa ila kasainishwa kwa lazima! Ni muhimu kuwa na katiba mpya maana Ndugai pamoja na udhaifu wake wa kutumiwa na ikulu kukandamiza wenzake ila hoja yake ilikuwa ya msingi
 
Back
Top Bottom