Fursa ambayo kila mtu anaiona hiyo siyo fursa

boniuso

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
786
Reaction score
1,043
MAKOSA 3 AMBAYO WATU WENGI HUFANYA WANAPOWEKA MALENGO

Kila mtu hujiwekea malengo yake kwa kukusudia kubadilisha maisha yake lakini malengo mengi huwa hayatimii

Watu wengi huwa hawajifunzi ila huiga na kufanya vitu kwa sababu wameona kuna watu wanafanya

Kama utakuwa miongoni wa watu wengi duniani ambao hufanya makosa hayo ndio sababu unapoteza hamasa ya kutimiza malengo yako

Makosa hayo ni

1. KUFANYA VITU KWA KUIGA
Watu wengi hawana uwezo mkubwa wa kufikiri hivyo hufanya lolote ambao huona watu wengi wanafanya

Ukiona fursa ambayo kila mtu anaikimbilia ujue hiyo sio fursa

Siku zote fursa haiwezi kuonekana kwa watu wengi

Ingekuwa fursa zipo kwa ajili ya watu wengi kila mtu angekuwa amefanikiwa sana

Kwa sababu fursa zipo sehemu ambazo watu wengi hawazijui ndio sababu watu wengi huiga tu akiona mtu anaandika kitabu na yeye anaandika,akiona mtu anauza nguo na yeye anauza, akisikia mtu amekuwa na pesa kwa kuimba nyimbo na yeye anaimba, akisikia biashara ya mahindi inalipa anaingia kichwa kichwa.

Wengi huanza kwa kubwa saa ndani ya muda mfupi hukata tamaa kwa sababu uwezo wao kufikiri ni mdogo sana huangalia matokeo tu kama sababu ya wao kufanya kazi badala ya kuangalia mchakato.

Watu hutamani sana mafanikio lakini hawapo tayari kulipa gharama za mafanikio hayo.

Wapo huteseka sana na huishia kusema nataman niwe na furaha kama wengine lakini hana juhudi zozote kuondokana na huzuni hiyo

Hurejea maisha yaleyale kila siku huku akitarajia matokeo mazuri

Kutarajia maisha kubadilika wakati upo vilevile ni kuchanganyikiwa

Usiwe sehemu ya watu wengi 85% ya watu duniani hawana furaha katika kazi zao kwa maana wanafanya kazi ili kuishi tu kwa sababu wanapata pesa kwenye kazi hizo.

Ukiwa na tamaa ya vitu kutoka nje yako kama pesa, pongezi, kusifiwa, watu kukushangilia hizo ni motishq na hamasa za muda tu endapo vikiondolewa utapoteza hamasa ya kazi na utakata tamaa.

Watu wengi huanzisha vitu na kuishia njiani kwa sababu hawajui siri ya kuendelea na mapambano ipo kwenye hamasa ya kwako wewe sio hamasa kutoka kwa motivational speaker au watu waliokuzunguka.

Watu waliokuzunguka hawawezi kukupa furaha ya kazi kama wewe huipendi kazi yako.

Ukifanya vitu kwa sababu unapata pesa siku pesa ukikosekana huwezi kuifanya kazi hiyo.

Watu zaidi ya 99% duniani hufanya kazi za ndoto zao kwa sababu wameona wengine wamefanikiwa na wengi huingia kichwani kichwa kwa sababu wanataka mafanikio makubwa sana kama ya wengine hivyo huruka step wanataka kukimbia kabla ya kutembea.

Ukianzisha pharmacy kwa lengo uuze dawa utalazimisha hata ambao sio wagonjwa wanunue dawa.

Ukiandika kitabu kwa lengo uuze tu utawalaumu watu kama hawanunui

Ukianza kucheza mpira kwa sababu umeona waliofanikiwa endapo hautapata mafanikio haraka utakata tamaa

Hakuna mtu ambaye amefanikiwa bila kupitia maumivu hivyo ondoa tamaa ya mafanikio badala yake furahia mchakato wa mafanikio

Kwako mafanikio iwe zawadi sio lengo

Kumbuka malengo 9 kati ya 10 huuwa hayatimii

2. KUWEKA TAMAA YA PESA
Watu wengi huwa na tamaa kubwa sana ya mafanikio ya kiuchumi kuliko uhalisia wenyewe

Akiona kuna mtu amependeza hutaka kuiga kile anafanya mwenzio akifikiria kuwa atakuwa kama yeye kwa kulala na kuamka

Kitu pekee unaweza kuanzia juu ni kuchimba shimo

Ila kitu chochote chenye thamani huwezi kukipata kwa kutamani kukipata

Huwezi kuwa mrefu au mfupi kwa kutamani kuwa hivyo

Ukianzisha biashara kwa lengo upate pesa hiyo biashara imekushinda

Ukiandika kitabu kwa lengo upate pesa hivyo kitabu huwezi kukiuza

Ukitafuta kazi kwa lengo upate pesa kazi imeshakushinda

Watu wengi ambao hukata tamaa na maisha ni kwa sababu ya tamaa ya pesa kwa haraka ndani ya muda mfupi

Ukweli ni kuwa hakuna binadamu ambaye ni mwenye furaha saa 24 hayupo na hawawezi kutokea

Kitu chochote ambacho utafanya kwa lengo upate pesa tayari kimekushinda kwa sababu usipopata pesa kwa muda uliotarajia tayari nguvu ya kufanya kazi inaondoka

Watu wote ambao huishia njia kwenye malengo yao sababu kubwa ni kutaka pesa kwa haraka

Ukweli ni kuwa hata kama utakuwa bingwa kiasi gani kama huwezi kuvumilia maumivu wakati ambao watu wengi wamestarehe huwezi kufanya chochote chenye maana

Kama unaishi kwa kufuata utaratibu unaotumika kwa watu wengi sahau kuishi maisha yenye furaha

Huwezi kuwa na furaha wakati unatumia muda mrefu kukaa na watu wenye hasira na wenye kulalamika kila wakati

Huwezi kuwaa na furaha wakati unakaa unajisema kwa mabaya ambayo unapitia

Huwezi kuwa na furaha wakati unajilaum sana kwa makosa ya zamani

Watu wengi hawapo tayari kupokea ukweli hivyo hupata hasira wakiambiwa ukweli

Wengi hutafuta majibu ya kufurahisha ili tu wajisikie furaha

Wapo wengi wenye msongo wa mawazo lakini hawapo tayari kuweka muda kukabiliana na msongo wa mawazo hivyo hutafuta njia za mkato ili kuondoa matatizo yao

Ukiwa na tamaa ya mafanikio ya haraka utateseka sana

Maisha sio vile unapanga wewe ni vile yamepangwa

Ukipuuza hekima ni wewe unakwenda kuteseka

Hekima huweza kumfanya mtu kuona maisha katika uhalisia wake badala ya kufuata mkumbo

Hekima ndio msingi wa mafanikio popote

3. KUACHA KUJIFUNZA VITU VIPYA
Kama unajua kusoma lakini husomi huwezi kutofautiana mawazo na mtu ambaye hajui kusoma

Utagundua kuwa wengi waliosoma huwa wenye mawazo sawa na wale ambayo hawajasoma kwa sababu hawana muda wa kujifunza vitu vipya

Huona cha darasani kimetosha

Neno hekima lipo katika kuhakikisha unapata utulivu wa akili

Katika watu wa kale waliita hekima kama falsafa ambapo ni neno Philosophy yenye maana ya Philo= Love au kupenda
Sophia yenye maana ya Hekima

Kwenye imani ya uyahudi neno hekima huitwa Chokmâh. Kwenye imani ya kiislamu neno hekima huitwa Hikma kwenye imani ya kigiriki neno hekima huitwa Sophia ambalo limezua neno Philosophy kwa kilatino hekima huitwa sapientia (sapiens yenye kuleta neno homo sapiens)

Kwenye ukristo neno hilo hupatikana katika Proverb 4:7

Kwa imani ya Buddha neno hekima huitwa PRAJNA

Watu wa kale miaka zaidi ya 2000 walifahamu kuwa ukikosa utulivu wa akili kila kitu kinakwenda hovyo

Hakikisha unapata utulivu wa akili

Mafanikio yapo kwenye kutatua matatizo ya watu endapo huwezi kutatua matatizo ya watu lazima utakuwa na tamaa ya kupata mafanikio ya haraka

Huwezi kudumu kwenye mafanikio kama huna motisha ya kutoka ndani ya moyo wako

Hakuna motivational speaker anaeweza kukupa hamasa kisha ukafanikiwa kama huna hamasa ya ndani ya moyo wako

Kama hupendi kazi yako huwezi kuiboresha

Kama unaenda kazini kwa sababu unalipwa huwezi kuiboresha kazi yako kama pesa haitakuwepo

Kama ndoto yako ni kuwa na pesa hiyo itabaki kuwa ndoto kwa sababu vikwazo hufanya watu kukata tamaa haraka

Kitu pekee cha kukuwezesha kuendelea na ndoto yako pale huoni matokeo mazuri ni hamasa ya ndani ya moyo wako

Unafanya kazi kwa sababu unaipenda sio kwa sababu unalipiwa

Watu huiga kazi bila kujua sababu ya kuifanya kazi hiyo

Kama sababu ya wewe kuanzisha biashara ni kupata pesa basi huweza kufanikiwa eneo hilo kwa sababu ukikosa pesa tu kwenye majaribio ya mwanzo tayari utapoteza hamasa na utakata tamaa

Unakata tamaa kwa sababu unataka matokeo ya haraka sana

Tumia hekima sio hisia katika kuendeleza kazi zako

Kupata kitabu cha
1. FIKRA ZAKO FURAHA YAKO (softcopy)
2. TIBA YA MSONGO WA MAWAZO (hardcopy & softcopy)
3. BADILI FIKRA ZAKO BADILI MAISHA YAKO (hardcopy & Softcopy)
4. MALEZI YA UBONGO KISAYANSI (hardcopy & softcopy)
5.TABIA ZA WATU WALIOFANIKIWA (Hardcopy & softcopy)
6. MISINGI 10 YA FURAHA SIKU ZOTE (hardcopy &softcopy)

+255766862579
+255622414991

Imeandikwa na Psychologist
Said Kasege
Temeke, Dar es salaam
 
kuiga sio tatizo... tatizo unaboreshaje ulicho kigeza..!mfano ni china ,wale sio inovaters kwa asilimia kubwa but wako safi sana kwenye kuimitate ila mafanikio ni makubwa..generaly maisha hayana formula fanya uwezavyo

Sent from my A37fw using JamiiForums mobile app
 
Sawa mkuu
 
Said Kasege ndo boniuso au macho yangu hayaoni mbali.
 
Kuna jipya gani kwenye kilimo kwa mfano. Yaani ubuni zao jipya ambalo mungu hajaliumba eti?
Kilimo kinaendana na mazingira, kwa hio utalima kulingana na mazingira.
Unaweza kupanda chai dodoma kisa unaogopa kulima mahindi kwa sababu utakuwa unaiga.
Business ngingi zilishagunduliwa wengine mnaiga tu. Hata maandiko yako inawezekana unaiga tu, wengi sana wameandika, hivyo wewe unafanya marudio hakuna jipya.
 
Maisha yanapendelea wale walio wanaofata taratibu, hekima na busara kabla ya jambo lolote. Ubaya nikuwa wengi hujisahau na kuona labda tupo ulimwengu wetu kwa matamshi yetu na reactions zetu kwa wengine.

Kwani Mungu si mmoja na binadamu ni sisi tuu, kwanin kama Mungu ni huyo mmoja ila kuna dini nyingi??

Wote tubamuomba yeye, na kuna wanaofanikiwa na wengine hapana unajua kwanin?

Kifupi nikuwa wote tunaweza kufanya jambo moja lakin kwa aina tofauti kabisa, kwanza kuhusu hicho kilimo nikwambie kuw Israel n Jangwa kuliko dodoma na wanalima sana na hatuwez wakuta kabisa.

Punguza chuki na tumia hekima kutoa maon yako. Hata mim ndio nakopi mkuu maana kuiga kitu bora sio ujinga. Ahsante
 
Kwa hio na sisi tuvumbue kulima angani eti?

Hakuna jipya chini ya jua, wamisri walianza kulima jangwani zamani sana.
Waeskimo wanalima kwenye barafu, hawajawahi kufa njaa.
Kila mtu ataishi ktk mazingira yake, sina chuki ila bakukosoa kwa hoja kuwa hakuna mapya na uwezo wa kubuni napya upo kwa watu wachsche sana dunuani, wengi ni kuiga tu. Ndio masna hata wewe unsiga japo ubahsmasisha watu wasiige.
Hakuna ubunifu wowote bika kuiga.Kama upo kufurahisha watu hapa sawa.
Bakhresa ni tajiri jwa kuiga tu.Hakuna teknolojia yoyote aliobuni.
Mhamasisgsji huwa hachukii kukoselewa vali hujifunza kwa kukosolewa. Do you think you are perfect ?
Hoja yako ya 3 inapingana na hoja ya 1, but unahamaki. Hili ni jukwaa huru sio kila mtu lazima akubaliane na hoja zako. Kubali kukosolewa utakuwa msomi mzuri.
 
Nashukury

Nashukuru mkuu, ahsante kwa maoni yako!
 
Back
Top Bottom