The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,446
- 10,976
Fungua viatu mkuu, vipodozi umakini ni mwingi kwenye vibali vyake, lazima uwe na ushawishi na ujue kushauri wateja, vile vile itahitaji uwe makini na kuuza visije vikaisha muda wake expire date.Mkuu nipo na M 18 nawaza kati ya biashara hizo mbili nifungue ipi