Fursa biashara viatu vya kiume

Fursa biashara viatu vya kiume

Mkuu nipo na M 18 nawaza kati ya biashara hizo mbili nifungue ipi
Fungua viatu mkuu, vipodozi umakini ni mwingi kwenye vibali vyake, lazima uwe na ushawishi na ujue kushauri wateja, vile vile itahitaji uwe makini na kuuza visije vikaisha muda wake expire date.
 
Back
Top Bottom