mkuu nimeogopa gafla,maana mwenyewe nimenunua seheemu vifarnga 35 bado sijavichua nasubiri vifikishe walaumwezi mmoja.ni wale kuku chotala
Mihogo posta lazima utapiga pesa , kuna jamaa wameanzisha kuuza mihogo within this week pale mtaa wa sokoine\ luthuli posta , watoto wa IFM wanaifakamia kama maji.Kila sIku nafikiria kuanzisha biashara ya kukaanga mihogo maeneo ya Posta. Mihogo yenyewe inaweza kuwa sio fursa sana ila fursa itakuwa kwenye matangazo ya hiyo muhogo.Nitatangaza kuwa mihogo hii inaongeza nguvu za kiume. Hapo ndipo fursa ilipo..
Hii biashara ya ufugaji wa samaki kama upo mbali na mtaalam usijaribu itakukataYaani mkuu kila ninapofikiria kuhusu hiyo Project naiona kama ngumu sana
nimewahi kuwaza kujaribu lakini naiona kama inahitaji utaalamu mkubwa
lakini nitaifuatilia.
Hilo ni deal zuri kwa sababu humu maofisini hela ya kwenda kula lunch imeanza kutushinda tangu huyu jamaa kaingia madarakani kazuia deal zetu za kuipiga serikali hajaboresha maslahi ya watumishi yaani taabu tupuKila sIku nafikiria kuanzisha biashara ya kukaanga mihogo maeneo ya Posta. Mihogo yenyewe inaweza kuwa sio fursa sana ila fursa itakuwa kwenye matangazo ya hiyo muhogo.Nitatangaza kuwa mihogo hii inaongeza nguvu za kiume. Hapo ndipo fursa ilipo..
Tupe link ya uzi wako mzeeMkuu mimi nafunguka mengi humu JF tena uzi wangu mwingine ulikuwa Juzi tu
hapa, mpaka INBOX yangu ikaanza kufurika sasa hapa nawapa nafasi na wadau
wengine wafunguke.
Mmmmm[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Kufuga n'nge
Ile sumu yake ni dili watu tunauza hiyo
Try that u will be a billionea just like me
Industry yenye moto ss iv ni e-sports ( online video game competition) video games kwa ujumla, artificial intelligence na crypto currencies, kwa kifupi kutatua changamoto za watu kwa kutumia technolojia.Kati ya hizi nilizotaja mm nimewekeza kwenye video games, zina addiction viby kwaiyo pesa zinanifata tu zenyewe. Toka nimeanza hii wiki ya tatu nahisi, minimum kwa siku haishuki chini ya 40k.
Jamani kuna kuku nimeona hapa south Africa ni wakubwa sio kawaida. Paja kama la mtoto mchanga !!! Sijui kwa nini hii mbegu haijaletwa bongo?
Jamani kuna kuku nimeona hapa south Africa ni wakubwa sio kawaida. Paja kama la mtoto mchanga !!! Sijui kwa nini hii mbegu haijaletwa bongo?
Nunua mazao wkati wa mavuno. Weka stock, uza wakati wa njaa
Nunua mifigo, wakati wa njaa, watunze na kisha njoo uza wakati washavuna
Sio na akili yako. Sema na bahati. Mimi kabla ya kutandaza mkeka nafanya analysis nyingi lkn mara nyingi napigwaNjooni tutandaze mikeka.mtaji 1,000 na akili yako
SIO KINGINE BALI NINTAREJEA BAADA KUANDAA KILE KILICHONIFANYA NIKIMBIE UWALIM WA SECONDARY NA CHET KIPO KABATINI
Ha ha we jamaa wewe! Huko kwenyewe kuna kazi ngumu kwanza lazima upige viuno kama paka!Kuwa dancer wa fally pupa
Mkuu unakodisha cd na kuweka nyimbo kwa dola?SIO KINGINE BALI NI
SAMSTUDIO MOROGORO
Mkuu hii ipoje? Na vp wewe unafanya hii kitu?Mnaifahamu INTERNET???
Basi INTERNET ina fursa nyingi sana basi tu watu tunaitumia kuingia JF, instagram na WhatsApp.
Fursa mojawapo ni kuwekeza katika Cryptos. Watu wanaziita scam business, basi tu ni vile hawana right information at the right time.
p nimeshindwa kutoa iyo $ but ni TshMkuu unakodisha cd na kuweka nyimbo kwa dola?
5mil huanzia 1, anza leoHiiii inaitaji mtaji mkubwa kiasi cha 5m+