Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀😀😀😀Uganga wa kienyeji ... hapo sijui kama kuna wa kupinga ... wametoka wengi tena kipindi cha uchaguzi...
Jibu: Forex
mashine moja sh. ngapi? mkuuKuuza pop corn stand za daladala kila baada ya siku 3 kijana analeta elfu 60.
Ukiwa na machine 3 ni laki na 80.
Mimi nilichukua kariakoo laki 3 na 80 Mkuu, ila walinipiga nasikia ni pungufu ya hapo.mashine moja sh. ngapi? mkuu
nashukuru sana kwhy inaweza kua chini ya hapo nikiongea nao vzr mkuu?Mimi nilichukua kariakoo laki 3 na 80 Mkuu, ila walinipiga nasikia ni pungufu ya hapo.
Ndiyo Mkuu unapata kabisa chini ya haponashukuru sana kwhy inaweza kua chini ya hapo nikiongea nao vzr mkuu?
pia kibali cha TFDA kinaitajika kufanya biashara hii? naomba unitajie ata vitu viwili vitatu ambavyo naweza kuanza navyo kuhusu vibaliMimi nilichukua kariakoo laki 3 na 80 Mkuu, ila walinipiga nasikia ni pungufu ya hapo.
nimeipenda idea na nataka niifanyie kazi ndani ya mwezi huu wa nane mkuu? nashukuru sana pia naomba kama kuna uptdate yeyeto naweza kufanya kabla ya kuanza kaziNdiyo Mkuu unapata kabisa chini ya hapo
Mkuu hakuna cha kibali wala nini, nunua mashine yako, mahindi, rangi, sukari na mifuko piga kazi.pia kibali cha TFDA kinaitajika kufanya biashara hii? naomba unitajie ata vitu viwili vitatu ambavyo naweza kuanza navyo kuhusu vibali
Nimekufafanulia hapo chini Mkuu,nimeipenda idea na nataka niifanyie kazi ndani ya mwezi huu wa nane mkuu? nashukuru sana pia naomba kama kuna uptdate yeyeto naweza kufanya kabla ya kuanza kazi
shukrani na MUNGU akubaliki sana ndugu yangu nafanyia kazi mawazo yako nitakupa update nipo mkoani nipo sumbawanga ila nataka kuifanyia mbeyaMkuu hakuna cha kibali wala nini, nunua mashine yako, mahindi, rangi, sukari na mifuko piga kazi.
Hakuna atakaekukamata, ila lenga stand.....mfano now nafukuzia mbezi pale kuna soko linaanzishwa upande wa kushoto wa stand na nasikia patakua na stand kuu ya mkoa so ni pazuri ukiweza kama upo Dar kaangalie.
Ameen, Kila la heri Mkuu Mungu akutangulie.shukrani na MUNGU akubaliki sana ndugu yangu nafanyia kazi mawazo yako nitakupa update nipo mkoani nipo sumbawanga ila nataka kuifanyia mbeya
😀😀 Na ukitaka kufaulu zaidi unaanzia upinzani unasumbua, unatengeneza jina halafu ndipo wanakuja kukubembeleza uhamie kwao, na kukuahidi vitu kibao!Kua mwana CCM... Trust me huu ni ujasiliamali wa kufa mtu.
Nikumbushe kisa kimoja cha ukweli kabisa ingawa ni cha siku nyingi. Yupo mchaga mmoja ambaye alikuwa amebahatika kupata ajira hapa Jijini, baada ya muda fulani akaamua kutafuta sehemu ambayo alifungua banda la chipsi. Alimwita mdogo wake kutoka nyumbani Moshi akamweka hapo. Baada ya Muda fulani yule bwana akapata Likizo, akaamua kumsaidia mdogo w na ake shuguli za chips.
Kwa mapato aliyoyaona muda huo mfupi akashtuka sana, akaamua kuacha kazi ili afanye
biashara hiyo ya Chipsi jambo ambalo lilileta mzozo na baba yake mzazi ambaye hakukubaliana kabisa na mpango huo huku akisisitiza kuwa yeye hakumsomesha aje kuuza chipsi.
Yule mchaga hakukubali, akaacha kazi na akafungua 'senta' nyingine ya Chipsi.....
Tuachane na huyo mchaga hebu nirudi kwenu wadau naomba tupeane uzoefu hapa
ni fursa gani ambazo macho ya kawaida haizioni kuwa Fursa za maana lakini zinaweza
kukupaisha Kimaisha?[/QUOTE
Hizo zote unachelewa kutoka jiunge kwa mared blue watukane magreen kwa muda halafu unawamwaga mared blue na kwenda magreed. halafu fursa hiyooooo utaiona.