Fursa gani zinadharauliwa lakini zinaweza kukutoa kimaisha?

Fursa gani zinadharauliwa lakini zinaweza kukutoa kimaisha?

Kuuza kahawa,Chai na Uji wa mchele.

Vitu simple ila ukitulia ukavitoa local vikawa classic asee utapoga pesa. Ila utatakiwa kupambana sana na alau uwe na mtaji wa uhakika around 5Milion hivi. Just for Chai, kahawa or uji wa mchele. (Mtaji mkubwa ee!?)
 
Mnaifahamu INTERNET???
Basi INTERNET ina fursa nyingi sana basi tu watu tunaitumia kuingia JF, instagram na WhatsApp.
Fursa mojawapo ni kuwekeza katika Cryptos. Watu wanaziita scam business, basi tu ni vile hawana right information at the right time.
Funguka vizuri mkuu tuelewww kwelii internet ni fursa ila wengu hatujui kutumia kuingiza pesa
 
Industry yenye moto ss iv ni e-sports ( online video game competition) video games kwa ujumla, artificial intelligence na crypto currencies, kwa kifupi kutatua changamoto za watu kwa kutumia technolojia.Kati ya hizi nilizotaja mm nimewekeza kwenye video games, zina addiction viby kwaiyo pesa zinanifata tu zenyewe. Toka nimeanza hii wiki ya tatu nahisi, minimum kwa siku haishuki chini ya 40k.
Tatizo ujuzi napenda sanaa issue izii
 
Jaribu ku google most expensive liquid/scorpion vernom wanatumia kutengenezea insulin na mambo kibao nikikutajia bei ya lita tano ya hiyo sumu ya n'nge hutoamini kwa kifupi wanunuzi wanakufata wenyewe sasa kuna mibongo naielezea hapo juu hainielewi imekariri biashara ni kuuza mitumba inasikitisha sana
Mtaji wake unagharimu fedha kiasi ganii mkuuu?

Ni vizuri zaidi ukadadavua vizuri utaratibu mzima naimani tutafaidika
 
Nilikuwa natumia PS 2 na PC Kilikuwa kipindi kizuri sana Ofisi moja ilikuwa inaingiza
wastani wa 30,000 kwa siku hapo toa hela ya kula, kumlipa mfanyakazi yaani posho
na nauli. Jumamosi na Jumapili ilikuwa 75,000 mpaka 90,000 pia na sikukuu.

Ile ofisi nyingine nilikuwa naingiza 45,000 mpaka 60,000. Jumamosi na Jumapili pia
na siku za sikukuu ilikuwa 100,000 +

1.Mapato ya Ofisi ya kwanza kwa wiki ilikuwa mpaka 300,000 kwa mwezi 1,200,000.
2.Ya pili wastani wa 450,000 kwa wiki sawa na 1,800,000 kwa mwezi hivyo
kufanya Jumla ya 3,000,000.

NB. NIMEWAHI KUWEKWA NDANI NA WAZAZI KWA SABABU YA BIASHARA HII.
Mwamba mtaji wake vipii
 
Bro upo?
Kitambo sana.
 
Haha ha ha ha ha Watu wanawachukulia kuku Rahisi sana!! Kuku wanalipa sana lakini
sio mtaji wa kitoto ule, Inatakiwa ukaze msuli kwelikweli uache mambo yako mengi na
uwe na 'usiriasi' hautaki masihara, nikianza kuelezea hapa ninavyowajua wanJF wataanza
kuniuliza kwanini umeacha kufuga.
Kuku lazma walambe million 5 kwa kuanza tu na hapo uwe na mabanda tayari kama huna piga hesabu za Toyota IST ndio biashara itakuwa imesimama vizuri, jambo zuri kuhusu biashara ya kuku ina asili ya inelastic demand! Mabadiliko ya bei hayaathiri kiwango cha manunuzi!
 
Industry yenye moto ss iv ni e-sports ( online video game competition) video games kwa ujumla, artificial intelligence na crypto currencies, kwa kifupi kutatua changamoto za watu kwa kutumia technolojia.Kati ya hizi nilizotaja mm nimewekeza kwenye video games, zina addiction viby kwaiyo pesa zinanifata tu zenyewe. Toka nimeanza hii wiki ya tatu nahisi, minimum kwa siku haishuki chini ya 40k.
mkuu unaifanyaje hii ya video games!?
 
Back
Top Bottom