Fursa gani zinadharauliwa lakini zinaweza kukutoa kimaisha?

Fursa gani zinadharauliwa lakini zinaweza kukutoa kimaisha?

Kazi ya genge , jamaa aliacha kazi ya serikali (ualimu) na kuanzisha genge japo rafiki zake walicheka sana kuhusu uamuzi wake wa KIJINGA .Sasa jamaa ana duka kubwa na analipa kodi, na ameajiri mtu mmoja hivyo ameisaidia serikali katika ajira. Waliomcheka wanaomba mkopo kwake. Jamani usidharau kazi ila angalia mwisho wa siku unaingiza ngapi.
 
😀😀 Na ukitaka kufaulu zaidi unaanzia upinzani unasumbua, unatengeneza jina halafu ndipo wanakuja kukubembeleza uhamie kwao, na kukuahidi vitu kibao!
Teh
Hii ndio yenyewe maana visingizio hukosi...
Uta sema unaunga mkono juhudi au mwenyekiti hataki kutoka.
 
Kubeba takataka, hii ni fursa kubwa sana Dar kwa sasa. Kama unagari lenye sifa ya kubeba hizo takataka unaweza ukaongea na m/kiti wa mtaa wowote wakapatana na wananchi wao wakulipe kiasi gani kila ukibeba takataka zao. Ata kama una toyo pia waweza fanya.
 
Jamani kuna kuku nimeona hapa south Africa ni wakubwa sio kawaida. Paja kama la mtoto mchanga !!! Sijui kwa nini hii mbegu haijaletwa bongo?
mkuu kwa mfano,ukitaka kusafirisha hata kwa basi tu, vipi unaweza kuruhusiwa?
 
Kazi ya genge , jamaa aliacha kazi ya serikali (ualimu) na kuanzisha genge japo rafiki zake walicheka sana kuhusu uamuzi wake wa KIJINGA .Sasa jamaa ana duka kubwa na analipa kodi, na ameajiri mtu mmoja hivyo ameisaidia serikali katika ajira. Waliomcheka wanaomba mkopo kwake. Jamani usidharau kazi ila angalia mwisho wa siku unaingiza ngapi.
Uko sawa kabisa mkuu
 
Unatengeneza mwenyewe, unatafuta vifungashio , ukiweza una label Kabisa , unaweza kusupply mwenyewe au unatafuta Kijana wa kusupply oda Kinachofuata Matangazo ya kufa mtu insta Na facebook hufi njaa mjini shoo. Kopo Bei 20000 mpk 35000.
Unaweza kunifundisha jinsi ya kutengeneza aiseee
 
Back
Top Bottom