Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Kazi ya genge , jamaa aliacha kazi ya serikali (ualimu) na kuanzisha genge japo rafiki zake walicheka sana kuhusu uamuzi wake wa KIJINGA .Sasa jamaa ana duka kubwa na analipa kodi, na ameajiri mtu mmoja hivyo ameisaidia serikali katika ajira. Waliomcheka wanaomba mkopo kwake. Jamani usidharau kazi ila angalia mwisho wa siku unaingiza ngapi.