Fursa gani zinadharauliwa lakini zinaweza kukutoa kimaisha?

Fursa gani zinadharauliwa lakini zinaweza kukutoa kimaisha?

Ufugaji wa samaki
Biashara ya mortuary
Forex trading na cryptocurrency (hizi zinahitaji elimu usikurupuke)
 
Kila sIku nafikiria kuanzisha biashara ya kukaanga mihogo maeneo ya Posta. Mihogo yenyewe inaweza kuwa sio fursa sana ila fursa itakuwa kwenye matangazo ya hiyo muhogo.Nitatangaza kuwa mihogo hii inaongeza nguvu za kiume. Hapo ndipo fursa ilipo..
Mihogo posta lazima utapiga pesa , kuna jamaa wameanzisha kuuza mihogo within this week pale mtaa wa sokoine\ luthuli posta , watoto wa IFM wanaifakamia kama maji.
 
Yaani mkuu kila ninapofikiria kuhusu hiyo Project naiona kama ngumu sana
nimewahi kuwaza kujaribu lakini naiona kama inahitaji utaalamu mkubwa
lakini nitaifuatilia.
Hii biashara ya ufugaji wa samaki kama upo mbali na mtaalam usijaribu itakukata
 
Kila sIku nafikiria kuanzisha biashara ya kukaanga mihogo maeneo ya Posta. Mihogo yenyewe inaweza kuwa sio fursa sana ila fursa itakuwa kwenye matangazo ya hiyo muhogo.Nitatangaza kuwa mihogo hii inaongeza nguvu za kiume. Hapo ndipo fursa ilipo..
Hilo ni deal zuri kwa sababu humu maofisini hela ya kwenda kula lunch imeanza kutushinda tangu huyu jamaa kaingia madarakani kazuia deal zetu za kuipiga serikali hajaboresha maslahi ya watumishi yaani taabu tupu
 
Mkuu mimi nafunguka mengi humu JF tena uzi wangu mwingine ulikuwa Juzi tu
hapa, mpaka INBOX yangu ikaanza kufurika sasa hapa nawapa nafasi na wadau
wengine wafunguke.
Tupe link ya uzi wako mzee
 
Kufanya kazi mortuary inalipa sana maiti nyingi za ajari huwa zina pesa mfukoni unajiokotea tu pia unapata nafasi ya kupapasa wale mademu waliokua wanajifanya high class mjini!
 
Industry yenye moto ss iv ni e-sports ( online video game competition) video games kwa ujumla, artificial intelligence na crypto currencies, kwa kifupi kutatua changamoto za watu kwa kutumia technolojia.Kati ya hizi nilizotaja mm nimewekeza kwenye video games, zina addiction viby kwaiyo pesa zinanifata tu zenyewe. Toka nimeanza hii wiki ya tatu nahisi, minimum kwa siku haishuki chini ya 40k.


Hiii n kiboko
Tupe kiundani hiii business
 
Jamani kuna kuku nimeona hapa south Africa ni wakubwa sio kawaida. Paja kama la mtoto mchanga !!! Sijui kwa nini hii mbegu haijaletwa bongo?




Fanya utaratibu ifike kwa Tz
Inawezekana ukiamua
 
Jamani kuna kuku nimeona hapa south Africa ni wakubwa sio kawaida. Paja kama la mtoto mchanga !!! Sijui kwa nini hii mbegu haijaletwa bongo?





Chukua hata Mayai Yao uje nayo bongo ufuge
Hzo ndo Fursa zenyewe
 
NTAREJEA BAADA KUANDAA KILE KILICHONIFANYA NIKIMBIE UWALIM WA SECONDARY NA CHET KIPO KABATINI
SIO KINGINE BALI NI
SAMSTUDIO MOROGORO
 

Attachments

  • yemi-alade.jpg
    yemi-alade.jpg
    184.2 KB · Views: 137
  • 03-2018.PNG
    03-2018.PNG
    13.3 KB · Views: 139
  • 04-2018.PNG
    04-2018.PNG
    13.2 KB · Views: 112
  • 05-2018.PNG
    05-2018.PNG
    14.8 KB · Views: 91
  • 06-2018.PNG
    06-2018.PNG
    14.4 KB · Views: 119
  • IMG_20180402_145329.jpg
    IMG_20180402_145329.jpg
    261.2 KB · Views: 116
  • FULL SEASON AVAILABLE TILL 2017.docx
    FULL SEASON AVAILABLE TILL 2017.docx
    89.7 KB · Views: 83
Mnaifahamu INTERNET???
Basi INTERNET ina fursa nyingi sana basi tu watu tunaitumia kuingia JF, instagram na WhatsApp.
Fursa mojawapo ni kuwekeza katika Cryptos. Watu wanaziita scam business, basi tu ni vile hawana right information at the right time.
Mkuu hii ipoje? Na vp wewe unafanya hii kitu?
 
Back
Top Bottom