Fursa gani zinadharauliwa lakini zinaweza kukutoa kimaisha?

Wapendwa mwenye taarifa naomba anisaidie wapi naweza pata Paper rolls hapa nchini (za A4/A3) kama hii
Asanteni
 
Uganga wa kienyeji ... hapo sijui kama kuna wa kupinga ... wametoka wengi tena kipindi cha uchaguzi...
 
Jibu: Forex

Hili tangazo ni kwa wale ambao bado hajaifahamu forex au ambao wameisikia ila bado hawaamini ni njia halali ya kujipatia fedha.

Watanzania wengi hawaifahamu tofauti na wenzetu walioko Nigeria na Southafrica. Wabongo wanaoijua hufaidika kwa siri bila kuwashirikisha ndugu, jamaa na marafiki. Tusiwe wachoyo wa kuonyeshana fursa.

Muda unaopoteza whatsapp, facebook na instagram ungeutumia kujiingizia kipato, ni biashara hali inayofanywa na mabenki yote Duniani na sasa individuals kama wewe wanaweza kushiriki kupitia Broker. Mwisho wa mwaka utapeleka faida gaio la faida yako TRA.

Kwenye simu yako nenda google store download app inaitwa meta-trader 4 (sio 5). Pia unahitaji kua na laptop ingawa si lazima kwa hatua ya mwanzo. Ili kusaidia wasioifahamu tutatoa mafunzo ya mwanzo introduction to forex bure.
(1) Kuelimisha kuhusu forex.
(2) Kuwawezesha kutumia forex
(3) Kufaidika na forex

Kwa wale wazoefu wa forex; tunatoa msaada wa strategy ambayo ni price action and quarter theory for analysis

We are using price action and quarter theory for analysis in the larger time frame and the BTMM method for a good time and position to enter trades (sniper entries).
You will need three templates on your laptop.
1) BTMM template,
2) Quarter theory lines drawn manually or by indicator
3) Price action support and resistance lines drawn on each pair.
*Install TDI indicator on your phone

Bonyeza link kujoin Telegram Channel na Group (Download Telegram kutoka google app. Whatsapp haifai inalimit ya member, Telegram haijai/no limit)

Signature Traders (BTMM)

Signature Traders Tz (BTMM)

Asanteni
 
Mimi nilichukua kariakoo laki 3 na 80 Mkuu, ila walinipiga nasikia ni pungufu ya hapo.
pia kibali cha TFDA kinaitajika kufanya biashara hii? naomba unitajie ata vitu viwili vitatu ambavyo naweza kuanza navyo kuhusu vibali
 
Ndiyo Mkuu unapata kabisa chini ya hapo
nimeipenda idea na nataka niifanyie kazi ndani ya mwezi huu wa nane mkuu? nashukuru sana pia naomba kama kuna uptdate yeyeto naweza kufanya kabla ya kuanza kazi
 
pia kibali cha TFDA kinaitajika kufanya biashara hii? naomba unitajie ata vitu viwili vitatu ambavyo naweza kuanza navyo kuhusu vibali
Mkuu hakuna cha kibali wala nini, nunua mashine yako, mahindi, rangi, sukari na mifuko piga kazi.

Hakuna atakaekukamata, ila lenga stand.....mfano now nafukuzia mbezi pale kuna soko linaanzishwa upande wa kushoto wa stand na nasikia patakua na stand kuu ya mkoa so ni pazuri ukiweza kama upo Dar kaangalie.
 
nimeipenda idea na nataka niifanyie kazi ndani ya mwezi huu wa nane mkuu? nashukuru sana pia naomba kama kuna uptdate yeyeto naweza kufanya kabla ya kuanza kazi
Nimekufafanulia hapo chini Mkuu,
 
shukrani na MUNGU akubaliki sana ndugu yangu nafanyia kazi mawazo yako nitakupa update nipo mkoani nipo sumbawanga ila nataka kuifanyia mbeya
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…