NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Biashara ya kuuza Mkorogo inalipa.
Kwa kweli!
Usipokaa vizuri unaweza jikuta unapiga pasi ndefu Wewe na kuku wako [emoji2]
Funguka vizuri mkuu tuelewww kwelii internet ni fursa ila wengu hatujui kutumia kuingiza pesaMnaifahamu INTERNET???
Basi INTERNET ina fursa nyingi sana basi tu watu tunaitumia kuingia JF, instagram na WhatsApp.
Fursa mojawapo ni kuwekeza katika Cryptos. Watu wanaziita scam business, basi tu ni vile hawana right information at the right time.
Tatizo ujuzi napenda sanaa issue iziiIndustry yenye moto ss iv ni e-sports ( online video game competition) video games kwa ujumla, artificial intelligence na crypto currencies, kwa kifupi kutatua changamoto za watu kwa kutumia technolojia.Kati ya hizi nilizotaja mm nimewekeza kwenye video games, zina addiction viby kwaiyo pesa zinanifata tu zenyewe. Toka nimeanza hii wiki ya tatu nahisi, minimum kwa siku haishuki chini ya 40k.
Mtaji wake unagharimu fedha kiasi ganii mkuuu?Jaribu ku google most expensive liquid/scorpion vernom wanatumia kutengenezea insulin na mambo kibao nikikutajia bei ya lita tano ya hiyo sumu ya n'nge hutoamini kwa kifupi wanunuzi wanakufata wenyewe sasa kuna mibongo naielezea hapo juu hainielewi imekariri biashara ni kuuza mitumba inasikitisha sana
Mwamba mtaji wake vipiiNilikuwa natumia PS 2 na PC Kilikuwa kipindi kizuri sana Ofisi moja ilikuwa inaingiza
wastani wa 30,000 kwa siku hapo toa hela ya kula, kumlipa mfanyakazi yaani posho
na nauli. Jumamosi na Jumapili ilikuwa 75,000 mpaka 90,000 pia na sikukuu.
Ile ofisi nyingine nilikuwa naingiza 45,000 mpaka 60,000. Jumamosi na Jumapili pia
na siku za sikukuu ilikuwa 100,000 +
1.Mapato ya Ofisi ya kwanza kwa wiki ilikuwa mpaka 300,000 kwa mwezi 1,200,000.
2.Ya pili wastani wa 450,000 kwa wiki sawa na 1,800,000 kwa mwezi hivyo
kufanya Jumla ya 3,000,000.
NB. NIMEWAHI KUWEKWA NDANI NA WAZAZI KWA SABABU YA BIASHARA HII.
Bro upo?Nilikuwa natumia PS 2 na PC Kilikuwa kipindi kizuri sana Ofisi moja ilikuwa inaingiza
wastani wa 30,000 kwa siku hapo toa hela ya kula, kumlipa mfanyakazi yaani posho
na nauli. Jumamosi na Jumapili ilikuwa 75,000 mpaka 90,000 pia na sikukuu.
Ile ofisi nyingine nilikuwa naingiza 45,000 mpaka 60,000. Jumamosi na Jumapili pia
na siku za sikukuu ilikuwa 100,000 +
1.Mapato ya Ofisi ya kwanza kwa wiki ilikuwa mpaka 300,000 kwa mwezi 1,200,000.
2.Ya pili wastani wa 450,000 kwa wiki sawa na 1,800,000 kwa mwezi hivyo
kufanya Jumla ya 3,000,000.
NB. NIMEWAHI KUWEKWA NDANI NA WAZAZI KWA SABABU YA BIASHARA HII.
Pm njooMkuu hata Mimi nataka nijue jins ya kutengeneza
Mkuuu ufafanuzi kidogo juu ya hiliUuzaji wa samaki toka mkoani kwenda dar Kariakoo na masoko mengineyo, inalipa mno!
Kabla hamjaanza mje mniungishee mihogoNAKUUNGA MKONO 100%
Uandae na mchanganyiko mzuri wa viungo.Tena ukichelewa utanikuta nimeshaanza kukaanga.
Kuku lazma walambe million 5 kwa kuanza tu na hapo uwe na mabanda tayari kama huna piga hesabu za Toyota IST ndio biashara itakuwa imesimama vizuri, jambo zuri kuhusu biashara ya kuku ina asili ya inelastic demand! Mabadiliko ya bei hayaathiri kiwango cha manunuzi!Haha ha ha ha ha Watu wanawachukulia kuku Rahisi sana!! Kuku wanalipa sana lakini
sio mtaji wa kitoto ule, Inatakiwa ukaze msuli kwelikweli uache mambo yako mengi na
uwe na 'usiriasi' hautaki masihara, nikianza kuelezea hapa ninavyowajua wanJF wataanza
kuniuliza kwanini umeacha kufuga.
mkuu unaifanyaje hii ya video games!?Industry yenye moto ss iv ni e-sports ( online video game competition) video games kwa ujumla, artificial intelligence na crypto currencies, kwa kifupi kutatua changamoto za watu kwa kutumia technolojia.Kati ya hizi nilizotaja mm nimewekeza kwenye video games, zina addiction viby kwaiyo pesa zinanifata tu zenyewe. Toka nimeanza hii wiki ya tatu nahisi, minimum kwa siku haishuki chini ya 40k.
mkuu nielekeze kuhusu cryptosHow do you do that brother???
Mie nime invest kwenye Cryptos.
Hiyo ya video games sijaipata kabisa, what is your main activities in that venture
Nina Dip ya ICT-Business na Bachelor ya Masoko na Ujasiriamali mkuu!Elimu yako plse
We noma mkuu.Nina Dip ya ICT-Business na Bachelor ya Masoko na Ujasiriamali mkuu!
Wekeni wazi wote tupate maujuzi mkuu.Ni pm
Hahah kawaida tu mkuuWe noma mkuu.
Hili wazo nalipendaga Sana. Mungu akipenda mwaka huu ntafunguaUnaweza kutengeneza genge ukaliweka likawa la kisasa zaidi. Genge halidanganyi. Au kuchoma chapati jioni eneo la karibu na chuo
View attachment 799339