Huo mtaji makabwelaa wanautoa wap nikiwa mmoja wapo?? Tuzungumzaeni biashara ya chini ambayo hataa mtu ukiwa na vijisent vyako unaweza jikakamua ukaanzaMafuta ya taa pamp sehemu isiyo na kituo cha mafuta karibu
Fanya biashara yakuuza utumbo inafaida kubwa kama upo DSM.Ingawa kupata eneo lakufanyia ndio changamoto.Huo mtaji makabwelaa wanautoa wap nikiwa mmoja wapo?? Tuzungumzaeni biashara ya chini ambayo hataa mtu ukiwa na vijisent vyako unaweza jikakamua ukaanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Cannabis flowers ndo vinapatikanaje na unapelekaje nchi jirani?Kulima cannabis flowers na kuuza nchi jirani.....
Au sio uache kazi halafu ufungue banda la chipsi kiluvyaInategemea kazi yenyewe na eneo la kuuzia hizo chipsi, sio uache halafu
uanze kuchoma chipsi kule kwenu Mwanagati/Nyantila
Mkuu hii project ni mingoni mwa project ambayo naifuatilia na kuiwaza saana...Ufugaji wa samaki mkuu
Njoo posta hapa maeneo ya breakpoint nje ya ofis za RITA kuna mdau tayar anapiga hii mishe ya kukaanga mihogoAnalamba pesa za kutosha tu.Au ndio ww uliandika hapa mdau?Kila sIku nafikiria kuanzisha biashara ya kukaanga mihogo maeneo ya Posta. Mihogo yenyewe inaweza kuwa sio fursa sana ila fursa itakuwa kwenye matangazo ya hiyo muhogo.Nitatangaza kuwa mihogo hii inaongeza nguvu za kiume. Hapo ndipo fursa ilipo..
Hiyo project imejaa poa sana, wewe ni great thinkerTafuta kijiji chenye shida ya maji na kiwe karibu na vijiji vingine ambavyo vina tatizo kama hilo,, fanya upelelezi kuhusu mpango wa Serikali kwenye suala la maji kwa maeneo hayo.. kama haina mpango wa kuleta maji au mipango yao ni ya muda mrefu sana basi piga makofi kwa visigino..
Tafuta wataalam wa uchimbaji wa visima virefu wafanye survey kama eneo hilo lina uwezo wa kupatikana maji basi chimba na anza kupiga pesa.
NB: Uwe na mtaji wa kutosha kuweza kununua eneo, kuchimba kisima na ikiwezekana uwe na gari la kusupply maji kwenye vijiji vya jirani.
Noma sanaKazi ya genge , jamaa aliacha kazi ya serikali (ualimu) na kuanzisha genge japo rafiki zake walicheka sana kuhusu uamuzi wake wa KIJINGA .Sasa jamaa ana duka kubwa na analipa kodi, na ameajiri mtu mmoja hivyo ameisaidia serikali katika ajira. Waliomcheka wanaomba mkopo kwake. Jamani usidharau kazi ila angalia mwisho wa siku unaingiza ngapi.
du atar san iooTafuta kijiji chenye shida ya maji na kiwe karibu na vijiji vingine ambavyo vina tatizo kama hilo,, fanya upelelezi kuhusu mpango wa Serikali kwenye suala la maji kwa maeneo hayo.. kama haina mpango wa kuleta maji au mipango yao ni ya muda mrefu sana basi piga makofi kwa visigino..
Tafuta wataalam wa uchimbaji wa visima virefu wafanye survey kama eneo hilo lina uwezo wa kupatikana maji basi chimba na anza kupiga pesa.
NB: Uwe na mtaji wa kutosha kuweza kununua eneo, kuchimba kisima na ikiwezekana uwe na gari la kusupply maji kwenye vijiji vya jirani.
mkuu PM yako haifunguki,niashida na wewePm njoo
Sifungagi Pm mkuumkuu PM yako haifunguki,niashida na wewe
hahahahahhahJF aisee kuna vituko
Hahaha hii si chai mkuu;Kazi ya genge , jamaa aliacha kazi ya serikali (ualimu) na kuanzisha genge japo rafiki zake walicheka sana kuhusu uamuzi wake wa KIJINGA .Sasa jamaa ana duka kubwa na analipa kodi, na ameajiri mtu mmoja hivyo ameisaidia serikali katika ajira. Waliomcheka wanaomba mkopo kwake. Jamani usidharau kazi ila angalia mwisho wa siku unaingiza ngapi.
SafiMada kama hizi ndizo zinazotakiwa kujadiliwa maana zinakomboa watu. Kwa upande wangu, acha ni-share na wana, kwanza biashara ni kujitoa na kujiwekea malengo yanayofuatwa na NIDHAMU.
Nilipokuwa chuo nilianzisha biashara baada ya kuona nina uhitaji mkubwa wa pesa. Kwakuwa nilikuwa napata mkopo, nikaona niutumie huohuo kama mtaji. Kwanza nikatazama watu wanaonizunguka, nilikuwa naishi HOSTEL za nje, nikabaini kuna Mlinzi ambaye nilikuwa nimezoeana naye, yeye pamoja na mkewe. Basi hapo nikapata wazo la kuuza chakula kwaajili ya wanachuo ambao wanakaa kwenye mahostel yote, ya chuo na nje ya chuo.
Si kwamba hakukuwa na ma-canteen wala sehemu zingine za kula, lah! Ila mimi nilikuwa nataka nifanye tofauti kwa kuwapelekea watu vyakula mpaka mlangoni mwao, wanafunzi wa chuo wanapenda luxury life na wengine huwa wanatingwa kiasi kwamba anaona kutoka kwenda kufuata chakula anapoteza muda.
Nikamtumia yule mlinzi na mkewe. Mkewe akawa anapika. Nadamka asubuhi mno kwenda machinjioni kudaka nyama. Napitia na mchele na mahitaji muhimu sokoni, si kila siku lakini, kisha nafikisha mahali panapohitajika na kisha naenda zangu chuo.
Nilikuwa nahimiza sana chakula kipikwe kama cha nyumbani, kiwe kizuri na bei sawa na ya kule wanapokula kwengine. Japo faida ni ndogo lakini nikiipata kwa wingi SI HABA.
Basi nikachapa vikaratasi vingi sana nilivyoandika,
"JE, UNABANWA NA ASSIGNMENTS? UMECHOKA KUPIKA NA PIA KULA VYAKULA SUBSTANDARDS? USIJALI, PIGA SIMU AMA TUMA UJUMBE WA JINA LA HOSTEL NA NO. YA CHUMBA, UTALETEWA CHAKULA UPESI!"
Vipeperushi hivyo nikavisambaza sana na simu nikawa nazipokea. Nabeba chakula mwenyewe pamoja na mlinzi tunasambaza kiasi chuoni wengine wakawa wananiita kaka chakula.
Changamoto zipo, kuna siku za mwanzoni nilikuwa namwaga chakula kwa kukosa wateja. Nilikuwa nina msimamo, mtu akipiga simu saa nne kutaka chakula nilikuwa namwambia kimeisha hata kama kipo. Nilifanya hivyo kuwatengenezea belief kuwa chakula ni kizuri na inabidi wawahi kuweka orders.
Pia maneno ya wateja huwa hayakosekani na dharau za wanafunzi wenzangu vilevile!
Yaani mkuu kila ninapofikiria kuhusu hiyo Project naiona kama ngumu sana
nimewahi kuwaza kujaribu lakini naiona kama inahitaji utaalamu mkubwa
lakini nitaifuatilia.
kuanza na idadi kubwa hyo utafail anza na wachache ujifunze changamoto zake kwanzaNataka nifuge kuku nianze na kuku elfu moja wafugaji nipeni uzoefu sitaki kujaribu nataka nifanye.kuna watu waliniambia wao wamesomeshwa kwa kuku